mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #61
Nadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabuHivi mnara wa Rage, Luc Eymael na Manara, upi utavutia watu wengi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Makolo hamtakiwi kuongea kabsa kwa aibu mnayo enda kulitia taifa robo fainaliUto ndio ufala wao huu sasa,yaani wanashindana na ambaye hamfikirii kabisa
Hawana kombe lolote huko kimataifa kwahiyo hakuna Yanga atakachoshindwa achieveUmeweka standard na haujafika destination [emoji848][emoji848] Rage alikuwa very right
Ndio mkuu Kuna mtu anachorwaMbona kama kuna mtu anachorwa au ni mimi sielewi
Sawasawa.Hao walioganda tu wapo nafasi ya ngapi na wapo kikombe gani Afrika?Wamewazidi viwango au hawajawazidi?Unabashiri mtawafikia lini?Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa
Nafasi ya nane tutaikuta na kuipita wewe baki hapoa hapo twajaUto ndio ufala wao huu sasa,yaani wanashindana na ambaye hamfikirii kabisa
Wivu na aibu tu ndio vinawasumbuaHawana kombe lolote huko kimataifa kwahiyo hakuna Yanga atakachoshindwa achieve
Dah haina noma mm kwenye simba na yanga napenda nielewe stori zao z kifurahishaNdio mkuu Kuna mtu anachorwa
nani amefananisha? wapi?Sasa kama unajua unalinganishaje Yanga na Berkane? Manara ajengewe mnara katikati ya Msimbazi na jangwani, maana idadi ya wawili hata haiongezeki
Wangekuwa na kombe tungeshafunga mabakuli yetuWivu na aibu tu ndio vinawasumbua
Ni Wivu tu[emoji23][emoji23]Sawasawa.Hao walioganda tu wapo nafasi ya ngapi na wapo kikombe gani Afrika?Wamewazidi viwango au hawajawazidi?Unabashiri mtawafikia lini?
NB:Kumbe bila kujilinganisha nao maisha yenu hayaendi?
Na walivuka hizo nafasi nne kwa kuzipita timu zenye viwango vya aina gani?Ulinganisho wenu haitofautiani na akili za watoto.Subilia mashabiki wa timu fulani ambayo misimu minne imepanda nafasi 6, watavokuja kukutukana[emoji1][emoji1]
AahaaaNadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabu
Wivu kivipi?Umepewa uhalisia wakati wengine mnaleta kulinganisha visivyowezekana.Mkubali tu.Simba haipo daraja sawa na utopolo!Ni Wivu tu[emoji23][emoji23]
Hongereni Kwa hiyo nafasiNa walivuka hizo nafasi nne kwa kuzipita timu zenye viwango vya aina gani?Ulinganisho wenu haitofautiani na akili za watoto.
Mimi nadhani minara ya weupe ndio itavutia zaidiNadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabu
Mna kombe lolote huko CL na CC!?Wivu kivipi?Umepewa uhalisia wakati wengine mnaleta kulinganisha visivyowezekana.Mkubali tu.Simba haipo daraja sawa na utopolo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anyway mawazo yako yaheshimiweMimi nadhani minara ya weupe ndio itavutia zaidi
Hongereni Kwa hiyo nafasi
Hamna Cha maana mlichoshinda kimataifa
Hakuna kombe wala nini