Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia.
2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
4. Kocha wa viungo aliyekuja juzi ni pendekezo la mjerumani wa mchongo, nayeye atatimuliwa hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
5. Hivi tunavyo ongea FIFA inaitaka Yanga kulipa fidia ya mchezaji aliyevunjiwa mkataba.
TUTEGEMEE HUYU MTU KUTULETEA RIPOTI YA HASARA ZAIDI KWENYE MKUTANO MKUU MWAKANI.
NI MUDA WA KUMTIMUA MAANA ANAFANYA MAMBO KWA KUKURUPUKA.