Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

Mpira haulipi kwa muwekezaji,godoro moja 50000 unatumia miaka mitano,mshahara wadube milioni 35 kwa mwezi
Mtamuua GSM alitaka kumuiga Mo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia.
2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
4. Kocha wa viungo aliyekuja juzi ni pendekezo la mjerumani wa mchongo, nayeye atatimuliwa hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
5. Hivi tunavyo ongea FIFA inaitaka Yanga kulipa fidia ya mchezaji aliyevunjiwa mkataba.

TUTEGEMEE HUYU MTU KUTULETEA RIPOTI YA HASARA ZAIDI KWENYE MKUTANO MKUU MWAKANI.

NI MUDA WA KUMTIMUA MAANA ANAFANYA MAMBO KWA KUKURUPUKA.
Ni muda muafaka injinia atimuliwe hapo utopolo,nafasi yake apewe khmisa mobbetto
 
Ni raha sana yanga ikipata taabu, wana mdomo sana hawa vyura,walishajifanya wao ndio kila kitu,mixer kudeka deka tu,


ILa na wachambuzi wao nao wanaumia,maana kutwa kuisimanga simba,sasa tuone waikosoe na yanga,maana wao yanga hata ikifanya vibaya wanakuambia this is football,ila kwa simba sasaa ifanye vibaya weee!!
 
Leo utopolo wanaomba dua zote simba ifungwe ili wapoze machungu, na Mungu kwakuwa apokei maombi ya wanafiki,sijuii!!!!
 
Hersi kwa Gamondi alifeli sana.

Yanga italipia
Big mistake,ila nafikiri Ile njaa ya mafanikio ndio inamvuruga sana bwana mdogoo. Bado namwamini nahisi anatakiwa utilize Akili na apate washauri wema maana Yanga ni taasisi haamuu yeyetu. Kwasasa Hana kocha wakutimizaa ndoto zake.
 
GSM yuko busy anatoa kitambi uzembe kwa trainer Denzel....
Hana muda mtajua wenyewe...
Anataka awe na kimwili kama cha Mo...hahahah
 
Back
Top Bottom