Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia.
2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
4. Kocha wa viungo aliyekuja juzi ni pendekezo la mjerumani wa mchongo, nayeye atatimuliwa hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
5. Hivi tunavyo ongea FIFA inaitaka Yanga kulipa fidia ya mchezaji aliyevunjiwa mkataba.

TUTEGEMEE HUYU MTU KUTULETEA RIPOTI YA HASARA ZAIDI KWENYE MKUTANO MKUU MWAKANI.

NI MUDA WA KUMTIMUA MAANA ANAFANYA MAMBO KWA KUKURUPUKA.
 
Hersi kama Assad, utawala wake kauangusha mwenyewe. Kiburi cha mafanikio kilimpanda kichwani akajisahau na kufanya maamuzi ya hovyo yanayomgharimu.
 
Lakini unakumbuka kuwa Yanga inafungwaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    193.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    270.1 KB · Views: 5
Hersi kwa Gamondi alifeli sana.

Yanga italipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…