Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022.

Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo atashiriki kuchukua nafasi moja iliyotolewa kwa ajili ya bara la Afrika ambalo Pele alilipenda na mara kadhaa alisema huki ndio nyumbani kwao hasa.
 
Hahahaa watu wanajua kujipendekeza jamani khaa. Sasa uyo utopolo atapokelewa na nani kwanza
 
Yanga na Pele ni damudamu kitambo, walikuwa marafiki toka Simba anahangaika kutokushuka daraja
images (10).jpeg
 
Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu​

Kuna maisha ya mtanzania yatabadiliki baada ya Yanga kutuma mwakilishi kumzika Pele?

Alafu hapo kwenye kuiwakilisha Africa 😤 SI ajabu ikawa uongo
 
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022.

Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo atashiriki kuchukua nafasi moja iliyotolewa kwa ajili ya bara la Afrika ambalo Pele alilipenda na mara kadhaa alisema huki ndio nyumbani kwao hasa.
Mikutano maalum ya CAF huwa hawatumi mtu bali kwenye misiba wanatumana.
 
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022.

Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo atashiriki kuchukua nafasi moja iliyotolewa kwa ajili ya bara la Afrika ambalo Pele alilipenda na mara kadhaa alisema huki ndio nyumbani kwao hasa.
aliondoka lini??? huyu hapa chini ni nani???
20230103_183421.jpg
 
.... Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa
... watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee,
Nakumbuka msiba wa Malkia, kuna watu walifunga safari kwenda kwenye mazishi, lakini waliishia hotelini
 
Back
Top Bottom