Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mleta ujumbe huu, anafahamu huko kwao, watakaojua kuwa hizi ni fix, ni wawili tu!aliondoka lini??? huyu hapa chini ni nani???View attachment 2468063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta ujumbe huu, anafahamu huko kwao, watakaojua kuwa hizi ni fix, ni wawili tu!aliondoka lini??? huyu hapa chini ni nani???View attachment 2468063
Bi Barbara si anastahafu mwezi huu ama ameshastahafuTangu juzi Da Babra analala msibani wametandika mazulia sebuleni kwa marehemu Pele, Da Babra anatuwakilisha Simba Sports Club.
Siba Guvu Moya 💪🏾
Akishapokea mshahara wa january ndiyo anastaafu rasmiBi Barbara si anastahafu mwezi huu ama ameshastahafu
Tangu juzi Da Babra analala msibani wametandika mazulia sebuleni kwa marehemu Pele, Da Babra anatuwakilisha Simba Sports Club.
Siba Guvu Moya 💪🏾
Ndio mntaka aje kwa wacheza uchi fc?Bi Barbara si anastahafu mwezi huu ama ameshastahafu
Mkuu mimi sijui kuhusu hilo swala la Mtine kwenda Brazil ila naotaka kusema ni kuwa hizi picha za usajili huwa hazipigwi hiyo siku zinawekwa mitandaoni. Unaweza kuta zilipugwa hata siku ya sikukuu ya Christmasaliondoka lini??? huyu hapa chini ni nani???View attachment 2468063
Nishawajua hao wawili. Msoga One na Manara Og.Mleta ujumbe huu, anafahamu huko kwao, watakaojua kuwa hizi ni fix, ni wawili tu!