DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.
Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.
Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.