DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Na wasioingia uwanjani kucheza mechi?Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.
View attachment 3289706
Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.
Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Mtoa post amekuwa mwehu watu wa karibu wamsaidie.Yanga hivi, Yanga that, GSM this, GSM that....
Dude, you are better than that.
Na wasioingia uwanjani kucheza mechi?
Mliifanyia ubaya Simba mechi na SFAXIEN, ubwela umewarudia mara 3Leo April Mosi
Natumai ni siku yako na wengine kama alivosema Rage
Haya tukutane CAS ukawaeleze pumba zakoMliifanyia ubaya Simba mechi na SFAXIEN, ubwela umewarudia mara 3
Unafungua kesi ya rufaa huku hauna nakala ya hukumu ya unachokikatia rufaa? Viongozi wenu wanawadharau sana.Haya tukutane CAS ukawaeleze pumba zako
Unahangaika sana maskiniKanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.
View attachment 3289706
Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.
Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Anataka kutaga mtafutieni pa kutagia amepakosaUnahangaika sana maskini
Unataka nakala ya hukumu upewe wewe mbumbumbu inakuhusu?Unafungua kesi ya rufaa huku hauna nakala ya hukumu ya unachokikatia rufaa? Viongozi wenu wanawadharau sana.
Tatizo kila siku ni hii kitu. Hasemi kuwa simba walipokwenda kufanya mazoezi hawakuwa wametoa taarifa kwa mwyenyeji na hata Meneja wa Uwanja.Anataka kutaga mtafutieni pa kutagia amepakosa
Vipi? Ni ipi adhabu kubwa?kushushwa daraja ama kucheza bila mashabiki?Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.
View attachment 3289706
Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.
Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Unainhiaje uwanjan wkt tayar kuna barua ya kkuhairishwa kwa mchezo?Na wasioingia uwanjani kucheza mechi?
Ufanyiwe vurugu alafu uingie uwanjani ? Hiyo haipo ndugu yangu, Yanga yetu imetufedhehesha pakubwa , anyway tuendelee kuvumilia tu .Na wasioingia uwanjani kucheza mechi?
Hamka utajikojolea kitandani.Vipi? Ni ipi adhabu kubwa?kushushwa daraja ama kucheza bila mashabiki?