Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba.
Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga .
Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa Yanga miaka kumi ijayo katika ulimwengu huu wa maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano kuna vitu au biashara zitaathirika kama zitashindwa kuendana na hali ya sasa.
Hili ndili ninao liona kwa Yanga kuwa wameshinda kuendana na hali ya sasa na kumuachia Simba kutawala media. Hli linadhihirika kwa kuangalia morari ya Mashabikiwa Yanga inavyo shuka kila uchwao pamoja na Yanga kuwa kinara katika ligi kuu lakini wameshindwa kutamba mbele ya Simba hata huko mtaani. Kuna Makosa ambayo Yanga wanafanya.
1.Kukosa uwekwezaji unao eleweka kwa ajili ya kuendesha timu.Hii imefanya kuonekana ni timu isiyo jielewa na kupoteza muelekeo.
2.Kukosa Uhamasishaji, pamoja na hali hiyo lakini Yanga inao mashabiki wenye uzalendo wa kweli, tumeona mashabiki wamenzisha kampeni ya Bakuli la changia Yanga hata kabla ya viongozi kuliona hilo. Pamoja na mengine mengi Yanga haina Msemaji wala muhamasishaji, Dismas Ten anapwaya sana. Nina amini wana Yanga wangeweza kuchangia na kuendesha Timu kama Jerry Muro angekuwepo. Yanga inahitaji kuitangaza timu na harakati zake. Hakuna hamasa kabisa.
Katika uringo wa Soka na hamasa Simba wamefanikiwa sana ndio maana leo Simba inajaza Mashabiki zaidi ya Yanga.
Simba inatangazwa kwa kila rika kuanzia kwa watoto mpaka wazee. Simba imekuwa kivution kwa jamii ya Wanawake wengi hapa nchini. Kwasasa kila Mwanamke anaye shabikia Simba anataka na wanaye wawe Simba. Watoto wenye umri kuanzia miaka mitano wote wanakua wakisikia Simba Simba Simba. Baada ya Miaka kumi mbele Vijana karibu wote watakua ni Mahsbiki wa simba pia kutakuwa na Ongezeko la mashabiki wa kike kushabikia Simba.
Kama Yanga itashindwa kushindana na Simba itafanya Yanga kuwa Wanyonge mbele ya simba huko baadae wakati ambapo Simba itapo imarika zaidin na hat kufikia hatua amabapo Yanga itakosa mvuto kwa wawekezaji. Kama yanga itakosa Mashabiki ni wazi itakua timu ya kawaida sana kama Namungo FC .Kuna uwezekano Masbiki wa Yanga wakahamia kwa Azam ili kupata tumaini la kupooza nafsi.
Ni vema Yanga wakatafakari kwa makini kwa faida ya Baadae.