Yanga kuporomoka na kufa baada ya miaka 10

Yanga kuporomoka na kufa baada ya miaka 10

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
318
Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba.
Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga .
Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa Yanga miaka kumi ijayo katika ulimwengu huu wa maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano kuna vitu au biashara zitaathirika kama zitashindwa kuendana na hali ya sasa.

Hili ndili ninao liona kwa Yanga kuwa wameshinda kuendana na hali ya sasa na kumuachia Simba kutawala media. Hli linadhihirika kwa kuangalia morari ya Mashabikiwa Yanga inavyo shuka kila uchwao pamoja na Yanga kuwa kinara katika ligi kuu lakini wameshindwa kutamba mbele ya Simba hata huko mtaani. Kuna Makosa ambayo Yanga wanafanya.

1.Kukosa uwekwezaji unao eleweka kwa ajili ya kuendesha timu.Hii imefanya kuonekana ni timu isiyo jielewa na kupoteza muelekeo.

2.Kukosa Uhamasishaji, pamoja na hali hiyo lakini Yanga inao mashabiki wenye uzalendo wa kweli, tumeona mashabiki wamenzisha kampeni ya Bakuli la changia Yanga hata kabla ya viongozi kuliona hilo. Pamoja na mengine mengi Yanga haina Msemaji wala muhamasishaji, Dismas Ten anapwaya sana. Nina amini wana Yanga wangeweza kuchangia na kuendesha Timu kama Jerry Muro angekuwepo. Yanga inahitaji kuitangaza timu na harakati zake. Hakuna hamasa kabisa.

Katika uringo wa Soka na hamasa Simba wamefanikiwa sana ndio maana leo Simba inajaza Mashabiki zaidi ya Yanga.
Simba inatangazwa kwa kila rika kuanzia kwa watoto mpaka wazee. Simba imekuwa kivution kwa jamii ya Wanawake wengi hapa nchini. Kwasasa kila Mwanamke anaye shabikia Simba anataka na wanaye wawe Simba. Watoto wenye umri kuanzia miaka mitano wote wanakua wakisikia Simba Simba Simba. Baada ya Miaka kumi mbele Vijana karibu wote watakua ni Mahsbiki wa simba pia kutakuwa na Ongezeko la mashabiki wa kike kushabikia Simba.

Kama Yanga itashindwa kushindana na Simba itafanya Yanga kuwa Wanyonge mbele ya simba huko baadae wakati ambapo Simba itapo imarika zaidin na hat kufikia hatua amabapo Yanga itakosa mvuto kwa wawekezaji. Kama yanga itakosa Mashabiki ni wazi itakua timu ya kawaida sana kama Namungo FC .Kuna uwezekano Masbiki wa Yanga wakahamia kwa Azam ili kupata tumaini la kupooza nafsi.

Ni vema Yanga wakatafakari kwa makini kwa faida ya Baadae.
 
Mzee akili mali ndio tatizo yanga. Manji alikua na ndoto nzuri ya kuhakikisha yanga inatoka kuwa timu homba ombo nakuwa timu inayojiendesha kibiashara. Mwisho wasiku mnajua mpaka manji akajiuzulu nafasi ya uwenyekiti.
 
Umeongoa point sana kuhusu watoto wenu. Mimi mwanangu na madogo wa home wamehamasika sana na Simba tangia mwaka jana. Nilienda kijiji kimoja ndani sana nikakuta madogo wa msingi wanapiga ndondo. Majina wanayotumia ni Manula, Okwi,Kagere,Chama nk. Nilikuta mmoja tu akijiita Ajibu
 
Na Huyo anayejiita Ajibu alijiita hilo Jina tokea Ajibu yupo Simba.
 
Kuna Halmashauri moja ninayoifanyia Kazi hapa kuanzia DED, DT , Mwenyekiti wa Halmashauri, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo, Staffs, Walinzi na Madereva Wote ni Washabiki lialia wa Simba SC kiasi ya Kwamba Hata timu ya Nyumbani inapocheza na Simba wao Wanashabikia Simba.
 
Nitakupinga kwa hoja.
1. Hao Simba unaowasifia wamefanya uwekezaji gani?
2. Inaonekana wewe ni mgeni kwenye soka letu, kipindi cha Jerry Muro, Yanga tulikuwa vizuri kwa pesa za Manji,Huyo msemaji wenu wala hakuonekana kipindi hicho, ni kama ilivyo sasa Simba inashaini na inajitangaza kwa juhudi za MTU mmoja Moo, Siku akiamua kuwatosa mnarudi Kule Kule mlikokuwa kipindi kileee tunamtegemea Yusuph Manji..

3. Hizi timu hadi sasa bado hazitofautiani kwa lolote, hebu jiulize no ligi gani hapa duniani timu inakuwa na viporo zaidi ya 11, jiulize kama hakuna INA maana kule kwenye ligi zao hakuna timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa? Au Simba ndiyo timu ya kwanza kushiriki madhindano haya?

4. Naomba nikuulize, unakumbuka msimu wa 2015-2016 Yanga na Azam walikuwa wanacheza michezo ya kimataifa, walipokuwa na viporo si zaidi ya 3 timu yako pendwa tens ikiwa inaongoza ligi iligomea ligi hati mpaka Yanga na Azam wacheze viporo, na tff wakakubali nadhani unakumbuka kilichotokea mwisho wa ligi sins haja ya kueleza.

5. Kwa nini Simba anachezeshwa mechi za round ya pili wakati bado ana viporo? Jibu mnalo nyie wadau was Simba mkisaidiwa na tff na boadi ya ligi. Kimsingi mpira wetu utaishia kuzomeana Simba na Yanga ila hakuna lolote.
 
Yanga unakaa kabisa na kuwaza kuwa yanga inaweza kufa, kisa simva yupo mo, pole sana utakufa wewe na mkeo lakini yanga itaendelea kuwepo miaka mingi sana mbele, kuipenda simba au yanga hufundishwi ndugu, unazaliwa ukikijitambuwa unajikuta tu unapenda timu mojawapo, ndo maana hata manara anasema mwanaye ni yanga ingawa alishafanya juhud za kumbadili imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point mkuu, tena haji akaenda hadi kwa nape nauye kushitaki eti ooh, jery kanitolea lugha chafu, sasa msemaji wao anaonekana sababu timu inafanya vizur, na kuhusu viporo wao waligoma kucheza hadi yanga na azam wacheze,leo wao wana viporo 9, na wanaona sawa tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee akili mali ndio tatizo yanga. Manji alikua na ndoto nzuri ya kuhakikisha yanga inatoka kuwa timu homba ombo nakuwa timu inayojiendesha kibiashara. Mwisho wasiku mnajua mpaka manji akajiuzulu nafasi ya uwenyekiti.
Bashite aliona Yanga kinara..jitu limezaliwa Mwanza vijijini linapenda Simba ..Serikali ndio imewapa jeuri..Zitto alishasema tunaongozwa Na washamba...MTU wa Simba mjanja wala hafurahishwi Na matokeo haya anajuwa Yanga imeonewa
 
Kuna Halmashauri moja ninayoifanyia Kazi hapa kuanzia DED, DT , Mwenyekiti wa Halmashauri, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Vitengo, Staffs, Walinzi na Madereva Wote ni Washabiki lialia wa Simba SC kiasi ya Kwamba Hata timu ya Nyumbani inapocheza na Simba wao Wanashabikia Simba.
[emoji23][emoji23] wawe wanaonesha kauzalendo basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga unakaa kabisa na kuwaza kuwa yanga inaweza kufa, kisa simva yupo mo, pole sana utakufa wewe na mkeo lakini yanga itaendelea kuwepo miaka mingi sana mbele, kuipenda simba au yanga hufundishwi ndugu, unazaliwa ukikijitambuwa unajikuta tu unapenda timu mojawapo, ndo maana hata manara anasema mwanaye ni yanga ingawa alishafanya juhud za kumbadili imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
yaaanii.......acha tu.
 
Back
Top Bottom