Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo.
Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha iko juu mno na itazidi kadri siku zinavyokaribia.
Kwanini hali ni hii kwa Simba na mashabiki wake?
Rekodi nzuri ya Yanga katika ligi ya ndani.
Kwa sasa, Simba hawana la kusema unapokuja ubora wa Yanga katika ligi yetu na hoja yao kubwa kwa sasa ni mechi za kimataifa, Simba kujisifu kufanya vizuri kimataifa.
Kama nilivyogusia hapo juu, kwa sasa Simba wanategemea hiyo hoja tu ili kujibu mapigo panapotokea ubishani wa Simba na Yanga. Hivyo, Yanga akishinda, hili litakuwa ni pigo kubwa kwa Simba na mashabiki wake kuliko lile la Marekani kule Hiroshima nchini Japan.
Yanga kuifunga Simba mfululizo.
Kati ya vitu vinavyotesa Simba kwa sasa na kuwafanya wawe na machungu dhidi ya Yanga, ni kitendo cha Yanga kuifunga Simba mfululizo. Jambo hili linapoibuka, hoja pekee waliyonayo Simba kwa saa ni wao ni wakimataifa. Sasa jiulize, Yanga wakipundua meza, watabaki na hoja gani?
Yanga kucheza mechi zaidi ya arobaini bila kufungwa.
Hapa sihitaji kufafanua na ndiyo maana mnaona wanashangilia sare ya Yanga dhidi ya Alhilal kama vile Alhilal wameshinda.
Hivyo, kwa hoja hizo, Yanga akifanikiwa kupindua meza, maumivu kwa Simba na mashabiki wake yatakuwa sawa na maumivu ya kifo na huu ndiyo msingi wa hofu iliyojificha katika mioyo yao japo wanaonekana kuwa na furaha kwa matokeo waliyoyapata Yanga.
Kumbukeni wanaelewa vizuri ubora wa kikosi cha Yanga na nini wanaweza kukifanya wakijipanga vizuri na kurekebisha makosa yao.
Huu uzi hapa chini ni ushahidi wa wazi wa ninachokisema na huenda alieuandika ni mashabiki wa Simba.
www.jamiiforums.com

Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila. Refa anaongeza...