Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uache, usiache! huo ni uamuzi wako!Mkipindua meza naacha kushabikia mpira.
Kuwa chadema na yanga ni laanaHuu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo.
Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha iko juu mno na itazidi kadri siku zinavyokaribia.
Kwanini hali ni hii kwa Simba na mashabiki wake?
Rekodi nzuri ya Yanga katika ligi ya ndani.
Kwa sasa, Simba hawana la kusema unapokuja ubora wa Yanga katika ligi yetu na hoja yao kubwa kwa sasa ni mechi za kimataifa, Simba kujisifu kufanya vizuri kimataifa.
Kama nilivyogusia hapo juu, kwa sasa Simba wanategemea hiyo hoja tu ili kujibu mapigo panapotokea ubishani wa Simba na Yanga. Hivyo, Yanga akishinda, hili litakuwa ni pigo kubwa kwa Simba na mashabiki wake kuliko lile la Marekani kule Hiroshima nchini Japan.
Yanga kuifunga Simba mfululizo.
Kati ya vitu vinavyotesa Simba kwa sasa na kuwafanya wawe na machungu dhidi ya Yanga, ni kitendo cha Yanga kuifunga Simba mfululizo. Jambo hili linapoibuka, hoja pekee waliyonayo Simba kwa saa ni wao ni wakimataifa. Sasa jiulize, Yanga wakipundua meza, watabaki na hoja gani?
Yanga kucheza mechi zaidi ya arobaini bila kufungwa.
Hapa sihitaji kufafanua na ndiyo maana mnaona wanashangilia sare ya Yanga dhidi ya Alhilal kama vile Alhilal wameshinda.
Hivyo, kwa hoja hizo, Yanga akifanikiwa kupindua meza, maumivu kwa Simba na mashabiki wake yatakuwa sawa na maumivu ya kifo na huu ndiyo msingi wa hofu iliyojificha katika mioyo yao japo wanaonekana kuwa na furaha kwa matokeo waliyoyapata Yanga.
Kumbukeni wanaelewa vizuri ubora wa kikosi cha Yanga na nini wanaweza kukifanya wakijipanga vizuri na kurekebisha makosa yao.
Huu uzi hapa chini ni ushahidi wa wazi wa ninachokisema na huenda alieuandika ni mashabiki wa Simba.
Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila. Refa anaongeza...www.jamiiforums.com
Kwa wenye akili timamu wameshakubali kuwa wameshatolewa mashindanoniCha kushangaza wakati wao wanateseka, sisi mashabiki wa Yanga tuko tayari kwa matokeo yoyote yale! Kuna mambo yanastaajabisha sana kwa kweli.
Na ndiomaana kuvuka hamuwezi.Sisi wanaoelewa mambo ya kisaikolojia tunazijua hizo sababu mapema sana zinazowafanya mashabiki wa simba wafurahie yanga kutoa droo na kuona mechi imekwisha kwao, walichobaki nacho ni kuangalia sehemu yoyote ile ya kujibanza na kutafuta furaha angalau kwa muda mfupi maana awana la kuongea mbele ya yanga tofauti na kutafuta kichaka cha kujifichia ambacho ndo icho cha mechi za kimataifa, sasa endapo yanga atavuka na kwenda hatua ya makundi watakuwa kama kuku wa mdondo awatokuwa na hoja nyingine ya maana kwakuwa litakuwa ni pigo zito kwao ukizingatia wamepiga domo sana baada ya sare na kuyamaliza maneno yote wanayoyajua, kwaiyo wanaomba sana hilo lisitokee kwakuwa itakuwa ni aibu kubwa kwao, na kitu ambacho awakielewi ni kwamba wanayoyapost kwenye mitandao na wanayoyaongea kuwaponda wachezaji wa ynga ndio wanavyozidi kuwapa morali ya kuwaonyesha kwamba wao sio kama wanavyofikilia na wana uwezo wa kuwaonyesha wakoje ndani ya uwanja
Mko tayari na matokeo yoyote,baada ya kugundua kuwa hamuwezi kuwapiga kama ngoma tena?Cha kushangaza wakati wao wanateseka, sisi mashabiki wa Yanga tuko tayari kwa matokeo yoyote yale! Kuna mambo yanastaajabisha sana kwa kweli.
Mpira ni dakika 90 Sheikh.Mko tayari na matokeo yoyote,baada ya kugundua kuwa hamuwezi kuwapiga kama ngoma tena?
Mpira hauchezwi mdomoni Sheikh!Kwa wenye akili timamu wameshakubali kuwa wameshatolewa mashindanoni
Kwahiyo mtawapiga kama ngoma, si ndio?Mpira ni dakika 90 Sheikh.
Mwaka 2019 unakumbuka kilitokea` nini?Najiuliza tu, kama ile game yenu hapa nyumbani licha ya hizo rekodi ulizoweka hapo juu, kipa wenu ndio alikuwa man of the match, kusema kweli sijui mkienda kwao hali itakuwaje, ajabu sisi tunawahurumia nyie mnajidanganya tunateseka!.
Unawazushia tuYaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Aiseeeee !!!Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo.
Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha iko juu mno na itazidi kadri siku zinavyokaribia.
Kwanini hali ni hii kwa Simba na mashabiki wake?
Rekodi nzuri ya Yanga katika ligi ya ndani.
Kwa sasa, Simba hawana la kusema unapokuja ubora wa Yanga katika ligi yetu na hoja yao kubwa kwa sasa ni mechi za kimataifa, Simba kujisifu kufanya vizuri kimataifa.
Kama nilivyogusia hapo juu, kwa sasa Simba wanategemea hiyo hoja tu ili kujibu mapigo panapotokea ubishani wa Simba na Yanga. Hivyo, Yanga akishinda, hili litakuwa ni pigo kubwa kwa Simba na mashabiki wake kuliko lile la Marekani kule Hiroshima nchini Japan.
Yanga kuifunga Simba mfululizo.
Kati ya vitu vinavyotesa Simba kwa sasa na kuwafanya wawe na machungu dhidi ya Yanga, ni kitendo cha Yanga kuifunga Simba mfululizo. Jambo hili linapoibuka, hoja pekee waliyonayo Simba kwa saa ni wao ni wakimataifa. Sasa jiulize, Yanga wakipundua meza, watabaki na hoja gani?
Yanga kucheza mechi zaidi ya arobaini bila kufungwa.
Hapa sihitaji kufafanua na ndiyo maana mnaona wanashangilia sare ya Yanga dhidi ya Alhilal kama vile Alhilal wameshinda.
Hivyo, kwa hoja hizo, Yanga akifanikiwa kupindua meza, maumivu kwa Simba na mashabiki wake yatakuwa sawa na maumivu ya kifo na huu ndiyo msingi wa hofu iliyojificha katika mioyo yao japo wanaonekana kuwa na furaha kwa matokeo waliyoyapata Yanga.
Kumbukeni wanaelewa vizuri ubora wa kikosi cha Yanga na nini wanaweza kukifanya wakijipanga vizuri na kurekebisha makosa yao.
Huu uzi hapa chini ni ushahidi wa wazi wa ninachokisema na huenda alieuandika ni mashabiki wa Simba.
Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila. Refa anaongeza...www.jamiiforums.com
Hiyo hoja yenu ni dhaifu sana. Mwaka 2019 mbona mlitolewa mapema licha ya kushinda ugenini mkashindwa kumaliza nyumbani mkatolewa huku Yanga ikipundua meza ugenini na kusonga mbele?Mimi ni shabiki wa simba hapa nipo sina wasiwasi kabisa kuhusu Yanga kwenda Makundi najua hicho kitu hakipo kabisa na hawana uwezo huo na sio nasema hivyo kutokana na ubora wa Al Hilal ila ni kutokana na uwezo mdogo na mbinu duni walizonazo Yanga inapokuja michuano hii ya kimataifa ndio maana haishangazi kusikia mara yao ya mwisho kufika hatua hiyo ya Makundi ni mwaka 1998