Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

Nani awe na hofu na timu takataka ambayo imeumaliza mwendo.

Hamna uwezo wa kupindua matokeo kwenye mashindano ya kiume. Huko hakuna kuhonga timu pinzani.
 
Nilijua huu Uzi ni WA mwezi uliopita kumbe wa Leo daah!!!
kazi kweli kweli
 
Eti mechi 40 bila kufungwa, nyinyi ni unbeaten wa mchongo. Maamuzi mabovu ya marefa wa mchongo ndio yamewaokoa kwenye mechi kadhaa msipate vipigo. Au tukutajie hizo mechi?
Eti mrekebishe makosa, suala sio kurekebisha makosa bali uwezo hamna maana huwezi kumrekebisha Job au Mwamnyeto acheze kama Inonga, hayo makosa mtarekebisha kwenye karatasi Ila uwanjani yatajirudia kutokana na wachezaji kuwa vilaza.
 
Inakuuma hiyo record!!!
 
Hebu acheni ujinga basi, hofu zenu mnazihamishia kwetu kivipi!! Pambaneni na Ibenge wenu sisi tunajipanga na yetu.
 
Sifa ya kuwa mwanasimba ni kujisifu kama Mandonga.
Na wewe ndio umethibitisha ujinga wako, mandonga ni timu gani vile? au yanga day na simba day hukuangalia wap alikuwepo mandonga na wap alikuwepo kaoneka?

Simba hawajadili yao wako kimya wanasubiri kumbamiza mtu kimya kimya mshangae wako makundi wamejikita kujadili yenu ilinwawachanganye na mmeshaingia mtego, na baht mbaya wakwanza kuchanganyikiwa ni nabi, unakumbuka alipeleka memo ya sub kwa refa mara ngap siku ya al hilal, kwann afanye vile wkt sio kaz yake? bila shaka alichanganywa na ile sare
 
Salary slip nakuita mara 3,njoo utuambie hapa kwamba Kikwete ana akili, Sunday Manara pia ana akili, hivi kwa nini yule mzungu poli hakumtaja salary slip kuwa naye ana akili?

Acha kujipitisha huku ukitingisha makalio mbele ya wanaume utaacha manyoya chura wewe!
 
Sifa ya kuwa mwanasimba ni kujisifu kama Mandonga.
Huko hakuna kuhonga marefa Wala kuhonga wapinzani mkuu kwa hyo kaa kwa kutulia wewe jiandae Na shirikisho tu Haina namna ukizingatia mechi haitarushwa live
 
Sisi wanaoelewa mambo ya kisaikolojia tunazijua hizo sababu mapema sana zinazowafanya mashabiki wa simba wafurahie yanga kutoa droo na kuona mechi imekwisha kwao, walichobaki nacho ni kuangalia sehemu yoyote ile ya kujibanza na kutafuta furaha angalau kwa muda mfupi maana awana la kuongea mbele ya yanga tofauti na kutafuta kichaka cha kujifichia ambacho ndo icho cha mechi za kimataifa, sasa endapo yanga atavuka na kwenda hatua ya makundi watakuwa kama kuku wa mdondo awatokuwa na hoja nyingine ya maana kwakuwa litakuwa ni pigo zito kwao ukizingatia wamepiga domo sana baada ya sare na kuyamaliza maneno yote wanayoyajua, kwaiyo wanaomba sana hilo lisitokee kwakuwa itakuwa ni aibu kubwa kwao, na kitu ambacho awakielewi ni kwamba wanayoyapost kwenye mitandao na wanayoyaongea kuwaponda wachezaji wa ynga ndio wanavyozidi kuwapa morali ya kuwaonyesha kwamba wao sio kama wanavyofikilia na wana uwezo wa kuwaonyesha wakoje ndani ya uwanja
 
Cha kushangaza wakati wao wanateseka, sisi mashabiki wa Yanga tuko tayari kwa matokeo yoyote yale! Kuna mambo yanastaajabisha sana kwa kweli.
 
Chukua hii[emoji117]Ibenge ndo kocha bora wa vilabu Africa baada Mosemane.

chukua nyingine hii[emoji117]Ibenge anawajua vizuri wachezaji wa Uto na namna ya kuwadhiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…