Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

Kuwa chadema na yanga ni laana
 
Na ndiomaana kuvuka hamuwezi.
 
Cha kushangaza wakati wao wanateseka, sisi mashabiki wa Yanga tuko tayari kwa matokeo yoyote yale! Kuna mambo yanastaajabisha sana kwa kweli.
Mko tayari na matokeo yoyote,baada ya kugundua kuwa hamuwezi kuwapiga kama ngoma tena?
 
Najiuliza tu, kama ile game yenu hapa nyumbani licha ya hizo rekodi ulizoweka hapo juu, kipa wenu ndio alikuwa man of the match, kusema kweli sijui mkienda kwao hali itakuwaje, ajabu sisi tunawahurumia nyie mnajidanganya tunateseka!.
 
Najiuliza tu, kama ile game yenu hapa nyumbani licha ya hizo rekodi ulizoweka hapo juu, kipa wenu ndio alikuwa man of the match, kusema kweli sijui mkienda kwao hali itakuwaje, ajabu sisi tunawahurumia nyie mnajidanganya tunateseka!.
Mwaka 2019 unakumbuka kilitokea` nini?
 
Aiseeeee !!!
 
Mimi ni shabiki wa simba hapa nipo sina wasiwasi kabisa kuhusu Yanga kwenda Makundi najua hicho kitu hakipo kabisa na hawana uwezo huo na sio nasema hivyo kutokana na ubora wa Al Hilal ila ni kutokana na uwezo mdogo na mbinu duni walizonazo Yanga inapokuja michuano hii ya kimataifa ndio maana haishangazi kusikia mara yao ya mwisho kufika hatua hiyo ya Makundi ni mwaka 1998
 
Hiyo hoja yenu ni dhaifu sana. Mwaka 2019 mbona mlitolewa mapema licha ya kushinda ugenini mkashindwa kumaliza nyumbani mkatolewa huku Yanga ikipundua meza ugenini na kusonga mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…