mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl
Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito