Yanga kushushwa daraja?

Yanga kushushwa daraja?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
 
Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
 
Kwa ule mpira wote waliopiga shabalala na mkude wamekula rushwa pale
 
Mpira wa bongo hakuna nyau ya kuishusha daraja Simba au Yanga. Zitaonewa timu ndogo tu. Yanga na Simba ndio zinaamua mapato ya TFF. We angalia tu hata ratiba za saa 8 mchana Simba na Yanga hawana tangu ligi ianze pamoja na timu zingine kulalamika kila siku. Hao ni giants [emoji3][emoji3]
 
Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
Senzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yanga
 
Mwalimu wangu nguli ktk tasnia ya elimu hapa nchini alisema " Kipindi cha kugombania Uhuru Yanga ilitumika kupeleka ujumbe wa Uhuru kwa wananchi kupitia michezo.... walikuwa wanatangaza mechi watu wanakusanyika kutizama mechi halafu Nyerere ama kiongozi wa TANU anakuwepo kutoa maelekezo au mrejesho wa harakati za Uhuru"

Sasa kama wewe unahisi hiyo timu inaweza kushuka daraja au kupotea ktk medani za soka sisdhani labda CCM ipotee kwanza
 
Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
Tumia busara na sio kusema mtu Hana akili,watu tunatofautiana mitazamo,hulka,na hata utaalamu wa mambo kulingana na mindset yenyewe
 
Ina maana bado hujasikia?!

Sasa hivi TFF wametoa statement na wamei-post kwenye page yao ya Instagram!

Yanga wamefungiwa kushiriki ligi yoyote Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka 7, na adhabu ikiisha, itabidi waanzie Daraja la Pili.

Vile vile points zake zoooooote zimehamishiwa kwa Simba, huku Senzo nae akifungiwa kujishughulisha na soka kwa miaka 10 na GSM wamepigwa marufuku kuingia uwanja wowote wa soka duniani kote, na maamuzi mengi kadhaa wa kadhaa!

Taarifa inaendelea kusema kwamba, ikifika saa 3 usiku, Rais Magufuli atalihutubia taifa kuhusu hilo suala, na redio mbao zinadai huenda GSM wakafilisiwa ili fundisho kwa wengine.
 
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Hahahaha unadhani huyo Senzo ni mjinga kiasi hicho kufanya mawasiliano ya Aina hiyo?!?!
 
Ina maana bado hujasikia?!

Sasa hivi TFF wametoa statement na wamei-post kwenye page yao ya Instagram!

Yanga wamefungiwa kushiriki ligi yoyote Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka 7, na adhabu ikiisha, itabidi waanzie Daraja la Pili.

Vile vile points zake zoooooote zimehamishiwa kwa Simba, huku Senzo nae akifungiwa kujishughulisha na soka kwa miaka 10 na GSM wamepigwa marufuku kuingia uwanja wowote wa soka duniani kote, na maamuzi mengi kadhaa wa kadhaa!

Taarifa inaendelea kusema kwamba, ikifika saa 3 usiku, Rais Magufuli atalihutubia taifa kuhusu hilo suala, na redio mbao zinadai huenda GSM wakafilisiwa ili fundisho kwa wengine.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safi sana haya Simba piga kelele mme wenu kafungiwa mrudi kwenye ubkra
 
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Mikia mmevurugwa Sana,mpaka maji mtaita mma,kuna kichaa wenu mmoja anatembea na rungu,mkamateni mkimbize mirembe.......maana mtu mwenye akili timamu na anayejua mpira hawezi kusema timu yangu haiwezi kufungwa
 
Back
Top Bottom