Yanga kushushwa daraja?

Yanga kushushwa daraja?

Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Mikia mnahangaika sana,nyie ni zaidi ya mbumbumbu maana wagonjwa wa vijana wanaongezeka mpaka wengine wanatembea na marungu
 
Mbona Yanga walipeleka malalamiko kuhusu simba kumuhujum Yanga kupitia Morison vipi ile iliishia wapi?
 
Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
So na wewe umetumia akili?! Kwan juve alishushwaje?!
 
Senzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yanga
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia lia
 
Hawa mikia wamechanganyikiwa
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia lia
 
... " Kipindi cha kugombania Uhuru Yanga ilitumika kupeleka ujumbe wa Uhuru kwa wananchi kupitia michezo.... Sasa kama wewe unahisi hiyo timu inaweza kushuka daraja au kupotea ktk medani za soka sisdhani labda CCM ipotee kwanza
Kwani kipindi hiki bado tunadai uhuru?
 
Kumbe mtoa mada ubongo wako umeharika yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri?
 
Comments za humu zinakuonesha namna gani Tanzania inasafari ndefu katika soka.
 
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Nitafurahi sana.

Ishushwe daraja na kufa kabisa!

Huo ndiyo utakuwa mwisho wa uendawazimu kwenye soka la bongo na hapo ndipo ndoto za Tanzania kucheza world cup na kubeba Afcon zinaweza kutimia.

Kifo cha Vyura FC ndiyo pia kitakuwa ni kifo cha Mbumbumbu SC.
 
Back
Top Bottom