njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yaani manul aiseeee dah unaona kabisa alidhamiria afungweKwa ule mpira wote waliopiga shabalala na mkude wamekula rushwa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani manul aiseeee dah unaona kabisa alidhamiria afungweKwa ule mpira wote waliopiga shabalala na mkude wamekula rushwa pale
Kuna watu wamezidi umbumbumbu,hata Rage alishasema kwahiyo siyo tatizo sana,huko kwa mikia kuna lunatic wengi sanaTumia busara na sio kusema mtu Hana akili,watu tunatofautiana mitazamo,hulka,na hata utaalamu wa mambo kulingana na mindset yenyewe
Mikia mnahangaika sana,nyie ni zaidi ya mbumbumbu maana wagonjwa wa vijana wanaongezeka mpaka wengine wanatembea na marunguSenzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl
Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Hivi nyani hawana mikia?Mikia mnahangaika sana,nyie ni zaidi ya mbumbumbu maana wagonjwa wa vijana wanaongezeka mpaka wengine wanatembea na marungu
ushahidi unapelekwa mahakaman sio JFWeka ushahidi hapa acha kuzingua
Labda Kama anakesi nyingine ila sio ile game ya Simba vs Yanga, Kila mtu kakaza ileyaani manul aiseeee dah unaona kabisa alidhamiria afungwe
Akijibu nitag mkuuSiyo kuwa viwango vya wachezaji wa Simba ni vya maneno uwanjani hawawezi
So na wewe umetumia akili?! Kwan juve alishushwaje?!Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
Au kama mlivyomruka Ulimboka wakati anaenda kutoa rushwa Mtibwa SugarYanga wanaenda kumruka huyo Senzo kama walivyomruka Mwakalabela
Mkimzengua tunamsajiliyaani manul aiseeee dah unaona kabisa alidhamiria afungwe
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia liaSenzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yanga
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia lia
Kwani kipindi hiki bado tunadai uhuru?... " Kipindi cha kugombania Uhuru Yanga ilitumika kupeleka ujumbe wa Uhuru kwa wananchi kupitia michezo.... Sasa kama wewe unahisi hiyo timu inaweza kushuka daraja au kupotea ktk medani za soka sisdhani labda CCM ipotee kwanza
Simba na Yanga ni zaidi ya vilabu vya soka Tanzania. Serikali haiwezi kukubali vishuke darajaYanga ishuke daraja.....labda sio Tff ya bongo.
Yes look aroundKwani kipindi hiki bado tunadai uhuru?
Nitafurahi sana.Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba