mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kesi unaenda fifaYanga ishuke daraja.....labda sio Tff ya bongo.
Wewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl
Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Kwa ule mpira wote waliopiga shabalala na mkude wamekula rushwa paleSenzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl
Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Senzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yangaWewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
Tumia busara na sio kusema mtu Hana akili,watu tunatofautiana mitazamo,hulka,na hata utaalamu wa mambo kulingana na mindset yenyeweWewe akili huna na hakuna unalolijua,Kama kosa alifanya Senzo,Yanga inahusikaje? Katika mechi tajwa Yanga ilihusikaje? Mambo ya Juve na ligi nzima ya Italy wakati ule timu zilikuwa zinakaa zinapanga kuachiana mechi zinazowahusu wao na ndo maana wakashushwa daraja.Tumia akili japo kido kama mbegu ya haradali.
Hapo hamna issue ya upangaji wa matokeoIngekua rahisi hivyo Simba angekua Lig daraja la 7 huko.. Kesi za Ulimboka, Kado, Kesi, Kabwili.
Hahahaha unadhani huyo Senzo ni mjinga kiasi hicho kufanya mawasiliano ya Aina hiyo?!?!Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.
Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl
Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Weka ushahidi hapa acha kuzinguaSenzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yanga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safi sana haya Simba piga kelele mme wenu kafungiwa mrudi kwenye ubkraIna maana bado hujasikia?!
Sasa hivi TFF wametoa statement na wamei-post kwenye page yao ya Instagram!
Yanga wamefungiwa kushiriki ligi yoyote Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka 7, na adhabu ikiisha, itabidi waanzie Daraja la Pili.
Vile vile points zake zoooooote zimehamishiwa kwa Simba, huku Senzo nae akifungiwa kujishughulisha na soka kwa miaka 10 na GSM wamepigwa marufuku kuingia uwanja wowote wa soka duniani kote, na maamuzi mengi kadhaa wa kadhaa!
Taarifa inaendelea kusema kwamba, ikifika saa 3 usiku, Rais Magufuli atalihutubia taifa kuhusu hilo suala, na redio mbao zinadai huenda GSM wakafilisiwa ili fundisho kwa wengine.
Mikia mmevurugwa Sana,mpaka maji mtaita mma,kuna kichaa wenu mmoja anatembea na rungu,mkamateni mkimbize mirembe.......maana mtu mwenye akili timamu na anayejua mpira hawezi kusema timu yangu haiwezi kufungwaSenzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba