Yanga kushushwa daraja?

Mikia mnahangaika sana,nyie ni zaidi ya mbumbumbu maana wagonjwa wa vijana wanaongezeka mpaka wengine wanatembea na marungu
 
Mbona Yanga walipeleka malalamiko kuhusu simba kumuhujum Yanga kupitia Morison vipi ile iliishia wapi?
 
So na wewe umetumia akili?! Kwan juve alishushwaje?!
 
Senzo alifanya yote hayo kwaniaba ya Yanga na hiyo pesa ilitoka kwenye bodi ya yanga
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia lia
 
Hawa mikia wamechanganyikiwa
Sasa mbona kesi mmekimbilia Polisi badala ya Bodi ya ligi au TFF, kama alitoa Rushwa TAKUKURU wapo mikia kama vile hamjui malalamiko yenu myapeleke wapi mnaishia kulia lia
 
... " Kipindi cha kugombania Uhuru Yanga ilitumika kupeleka ujumbe wa Uhuru kwa wananchi kupitia michezo.... Sasa kama wewe unahisi hiyo timu inaweza kushuka daraja au kupotea ktk medani za soka sisdhani labda CCM ipotee kwanza
Kwani kipindi hiki bado tunadai uhuru?
 
Kumbe mtoa mada ubongo wako umeharika yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri?
 
Comments za humu zinakuonesha namna gani Tanzania inasafari ndefu katika soka.
 
Nitafurahi sana.

Ishushwe daraja na kufa kabisa!

Huo ndiyo utakuwa mwisho wa uendawazimu kwenye soka la bongo na hapo ndipo ndoto za Tanzania kucheza world cup na kubeba Afcon zinaweza kutimia.

Kifo cha Vyura FC ndiyo pia kitakuwa ni kifo cha Mbumbumbu SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…