Yanga kushushwa daraja?

Kwani msimu uliopita uliwafunga Prisons?cheap propaganda
 
Wapumbavu walianzisha timu wakaiita Sunderland na wanaamini Manara ni Mzungu kumbe ni mropokaji a ka mzungumzaji.
 
Na Manji kahamia Simba huku Simba wakimsajili Mo Salah ,Messi na Sedio Mane.Kishingo atabaki kufundisha Simba toto huku Jugen Klop akisainishwa miaka mitano kuwa kocha wa Simba.Aveva na Kaburu wamepangiwa kazi nyingine UEFA.
 
Yanga ife tu jamani, kwani ina faida gani hapa nchini? Haijawahi kufanya lolote la maana katika kutangaza vilivyo soka la Tanzania.
 
Kwani Yanga ikifa tutakosa nini? Wacheni ife tu, haina faida na nchi yetu, timu ziko nyingi tu hapa nchini na wanacheza mpira mzuri shinda Yanga na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…