Yanga kushushwa daraja?

Yanga kushushwa daraja?

Kwani msimu uliopita uliwafunga Prisons?cheap propaganda
 
Mwalimu wangu nguli ktk tasnia ya elimu hapa nchini alisema " Kipindi cha kugombania Uhuru Yanga ilitumika kupeleka ujumbe wa Uhuru kwa wananchi kupitia michezo.... walikuwa wanatangaza mechi watu wanakusanyika kutizama mechi halafu Nyerere ama kiongozi wa TANU anakuwepo kutoa maelekezo au mrejesho wa harakati za Uhuru"

Sasa kama wewe unahisi hiyo timu inaweza kushuka daraja au kupotea ktk medani za soka sisdhani labda CCM ipotee kwanza
Wapumbavu walianzisha timu wakaiita Sunderland na wanaamini Manara ni Mzungu kumbe ni mropokaji a ka mzungumzaji.
 
Ina maana bado hujasikia?!

Sasa hivi TFF wametoa statement na wamei-post kwenye page yao ya Instagram!

Yanga wamefungiwa kushiriki ligi yoyote Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka 7, na adhabu ikiisha, itabidi waanzie Daraja la Pili.

Vile vile points zake zoooooote zimehamishiwa kwa Simba, huku Senzo nae akifungiwa kujishughulisha na soka kwa miaka 10 na GSM wamepigwa marufuku kuingia uwanja wowote wa soka duniani kote, na maamuzi mengi kadhaa wa kadhaa!

Taarifa inaendelea kusema kwamba, ikifika saa 3 usiku, Rais Magufuli atalihutubia taifa kuhusu hilo suala, na redio mbao zinadai huenda GSM wakafilisiwa ili fundisho kwa wengine.
Na Manji kahamia Simba huku Simba wakimsajili Mo Salah ,Messi na Sedio Mane.Kishingo atabaki kufundisha Simba toto huku Jugen Klop akisainishwa miaka mitano kuwa kocha wa Simba.Aveva na Kaburu wamepangiwa kazi nyingine UEFA.
 
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Yanga ife tu jamani, kwani ina faida gani hapa nchini? Haijawahi kufanya lolote la maana katika kutangaza vilivyo soka la Tanzania.
 
Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba
Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison.

Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6
Na kwa Geita Gold,Oljoro Jkt,kanembwa Jkt na Ryno hapo Fdl

Sambamba na hayo pia wachezaji Aishi Manula, Mohammed husein na Mkude bila kuwasahau viongozi wanaotajwa kama Senzo na Hashim Mbaga huenda nawao ikibainika wakala rungu zito
Kwani Yanga ikifa tutakosa nini? Wacheni ife tu, haina faida na nchi yetu, timu ziko nyingi tu hapa nchini na wanacheza mpira mzuri shinda Yanga na Simba
 
Back
Top Bottom