Mi naomba serikali kupitia wizara husika watengeneze nembo maalum halafu ingeomba team zote zinazoshiriki Mashindano ya kimataifa kwenye jersey zao waweke hiyo nembo popote pale.. then serikali iwe walafu ina fidia sehem ya gharama team hizo zinapoenda kucheza mechi nje au team pinzan zikija maana team pinzan zikija kuna gharama team mwenyeji anaingia ni vile tu team zinaogopa hujuma wanajigharamia
Pia mfano kila team itakayovaa nembo hiyo basi walau tiket za ndege za watu kumi serikali inachangia..
yaan serikali ingetoa hilo tamko na ikawa zoez endelevu kila mwaka kuanzia clubs hadi team
za taifa... sio lazima ila club itakayofanya hivyo wanapata bonus ya kulipiwa sehem ya gharama za kwenda na kurud
maana yake ss hv biashara, azam, Simba , Yanga zote jearsy zao zingekuwa na nembo ya utalii ambayo iwe ni Twiga, Mlima kilimanjaro, na Visiwa vya Zanzibar.. inakuwa kwenye nembo moja..
na neno Visit Tanzania
mara mia ifanyike hivi kuliko wizara ilivyoingia gharama ya kupeleka wasanii mlimani wakat kwenye kearsy mashabiki wangenunua na kuvaa mwaka mzima na bado zoez lingekuwa la kudumu kila msimu