NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Yanga wanatia huruma sana,mitaani wamepoooooa kabisa,wanatembea wanongea peke yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah watu mna maneno😂Yuko sahihi kabisa..ninswa na mgonjwa kansa mahututi kumwambia usijali kesho utarudi nyumbani mzima kbs
So Wana Haki ya kutiwa moyo
Nimecheka sanaNaomba watu wa guiness waje wachukue rekodi yao hapa, pasi na shaka yoyote ile huu ndio mkataba mfupi kuwahi kutokea toka soka lilipogundulika kwani mkataba huu umezinduliwa ijumaa na kuisha jumapili yaani siku tatu tu
Wanatangaza mechi moja tu nje[emoji23][emoji23][emoji23]Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro.
Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar).
"Tumeamu kuunga mkono juhudi za Mh. Rais kwa kutangaza utalii kama alivyofanya kwenye royal tour" Alisema Kaimu CEO wa Yanga, Haji Mfikirwa.
Nembo hiyo ya kutangaza Utalii itakaa upande wa kushoto wa jezi hiyo!
Hii si mara ya kwanza kwa klabu ya Tanzania kutangaza utalii katika mechi za kimataifa, msimu uliopita Simba walitangaza utalii katika jezi zao walipokuwa wanashiriki hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika!
Hongereni Yanga, kuiga vitu vizuri sio jambo baya!!
View attachment 1941840
Ni jambo la kheri,japo haijakaa vyema sana...
Nao wangeandika Visit Tanzania sidhani kama Simba wangewakawatalia kwa kigezo cha kuiba idea
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Wakatangazie Nanjilinji hukoKlabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro.
Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar).
"Tumeamu kuunga mkono juhudi za Mh. Rais kwa kutangaza utalii kama alivyofanya kwenye royal tour" Alisema Kaimu CEO wa Yanga, Haji Mfikirwa.
Nembo hiyo ya kutangaza Utalii itakaa upande wa kushoto wa jezi hiyo!
Hii si mara ya kwanza kwa klabu ya Tanzania kutangaza utalii katika mechi za kimataifa, msimu uliopita Simba walitangaza utalii katika jezi zao walipokuwa wanashiriki hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika!
Hongereni Yanga, kuiga vitu vizuri sio jambo baya!!
View attachment 1941840
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkataba wa siku 3 🤣🤣🤣🤣🤣