Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

Naomba watu wa guiness waje wachukue rekodi yao hapa, pasi na shaka yoyote ile huu ndio mkataba mfupi kuwahi kutokea toka soka lilipogundulika kwani mkataba huu umezinduliwa ijumaa na kuisha jumapili yaani siku tatu tu
Nimecheka sana
 
Kama issue ni kuiga, basi mwasisi wa mambo haya ni Rais Kagame wa Rwanda tangu mwaka 2019. Kwa hivyo hata Simba waliiga.
 
Wanatangaza mechi moja tu nje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaenda kutangaza jumapili tu, nadhaninkwa wao inatosha hio
 
Ni jambo la kheri,japo haijakaa vyema sana...
Nao wangeandika Visit Tanzania sidhani kama Simba wangewakawatalia kwa kigezo cha kuiba idea

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app

Mna uhusiano na yule Mwamba Kavirondo (RIP) diwani wa Isamilo na Meya wa zamani wa Jiji la Mwanza
 
Wakatangazie Nanjilinji huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…