Yanga kuwakosa baadhi ya Nyota Wao Muhimu kuelekea Fainali ya FA Cup

Mbona umeandika sentensi ndefu sana? Shida ni nini. Hii ni sawa na paragraph 3
 
kazi ipo...
 
Yanga mmeona huko Tanga kugumu mmeanza kutafuta upenyo, mnataka muwapeleke baadhi ya wachezaji wenu kwa njia za panya ili Azam wasiwategemee kuwepo. Wazee wa Tanga bado hawajasahau dhihaka mlizotoa kwa Guardiola mnene.
 
Sa
Samahan iko alichonyenyua Mayele ni kombe au Blender ya kusaga juice n.k.
 
Dah! Mechi ya kesho tutabebwa tu na ubovu wa uwanja wa Mkwakwani. Maana Azam Fc siyo wazuri kwenye viwanja vya Mikoani, ukiwalinganisha na Yanga.

Ila ukija kwenye uhalisia! Azam wanalihitaji hili kombe kwa ari ya juu sana ukilinganisha na Yanga ambayo haina cha kupoteza. Yaani sijui ni kwa nini! Ninashindwa kabisa kuwapa Yanga nafasi ya kuchukua ubingwa hiyo kesho.
 

Kwa hiyo mnataka kusema hamlihitaji kombe kiviiile. Yanga bwana 🤣😂🤣
 
Una roho ya mama wa kambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…