Yanga kuwakosa baadhi ya Nyota Wao Muhimu kuelekea Fainali ya FA Cup

Y
NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa wameondoka mapema leo kwenda kwenye majukumu yao. Kama hivyo haitoshi Yanga ilipambana kuhakikisha angalau Djigui Diarra wa Mali, Kennedy Musonda wa Zambia na Khalid Aucho wa Uganda waweze kusalia kambini kucheza fainali ila nao imeshindikana kwa Diarra na Musonda kwakuwa Mashirikisho yao yamekaza ni Uganda pekee wameridhia Aucho aripoti baada ya fainali kwakuwa sio mbali. Kwanini imetokea hivyo? Ni kuwa fainali ya FA CUP imepangwa muda ambao kalenda ya FIFA inaanza, huku inafahamika kuwa wachezaji walioitwa timu zao za taifa ni mali ya Federation hivyo kutoripoti mapema kambini ni kosa ambalo Mchezaji anaweza kukumbana na adhabu, huku kwenye kalenda rasmi huu ni wakati wa mechi za Kimataifa. Mpaka hivi sasa Mali na Zambia tayari wametuma tiketi kwa Wachezaji wao na wanahitaji waliripoti kabla leo haijapita kambini, nje na hapo Yanga wamepewa taarifa Wachezaji hawatopokelewa na adhabu stahiki zitachukuliwa kwa Wachezaji. Maswali kichwani mwa Yanga mpaka hivi sasa ni je? Yanga watakaidi amri na kuwatumia wachezaji hao kesho na kupokea adhabu? Ndicho kinasubiriwa mpaka hivi sasa, chanzo changu bado hakijapata maamuzi ya mwisho ya Yanga. Hizi ni taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa vyanzo vyangu hivyo uwezekano ni rotation kubwa ya kikosi kwa Yanga hapo kesho.

View attachment 2653776
Mbona umeandika sentensi ndefu sana? Shida ni nini. Hii ni sawa na paragraph 3
 
NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa wameondoka mapema leo kwenda kwenye majukumu yao.

Kama hivyo haitoshi Yanga ilipambana kuhakikisha angalau Djigui Diarra wa Mali, Kennedy Musonda wa Zambia na Khalid Aucho wa Uganda waweze kusalia kambini kucheza fainali ila nao imeshindikana kwa Diarra na Musonda kwakuwa Mashirikisho yao yamekaza ni Uganda pekee wameridhia Aucho aripoti baada ya fainali kwakuwa sio mbali. Kwanini imetokea hivyo?

Ni kuwa fainali ya FA CUP imepangwa muda ambao kalenda ya FIFA inaanza, huku inafahamika kuwa wachezaji walioitwa timu zao za taifa ni mali ya Federation hivyo kutoripoti mapema kambini ni kosa ambalo Mchezaji anaweza kukumbana na adhabu, huku kwenye kalenda rasmi huu ni wakati wa mechi za Kimataifa.

Mpaka hivi sasa Mali na Zambia tayari wametuma tiketi kwa Wachezaji wao na wanahitaji waliripoti kabla leo haijapita kambini, nje na hapo Yanga wamepewa taarifa Wachezaji hawatopokelewa na adhabu stahiki zitachukuliwa kwa Wachezaji. Maswali kichwani mwa Yanga mpaka hivi sasa ni je?

Yanga watakaidi amri na kuwatumia wachezaji hao kesho na kupokea adhabu? Ndicho kinasubiriwa mpaka hivi sasa, chanzo changu bado hakijapata maamuzi ya mwisho ya Yanga. Hizi ni taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa vyanzo vyangu hivyo uwezekano ni rotation kubwa ya kikosi kwa Yanga hapo kesho.

View attachment 2653776
kazi ipo...
 
Yanga mmeona huko Tanga kugumu mmeanza kutafuta upenyo, mnataka muwapeleke baadhi ya wachezaji wenu kwa njia za panya ili Azam wasiwategemee kuwepo. Wazee wa Tanga bado hawajasahau dhihaka mlizotoa kwa Guardiola mnene.
 
Sa
NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa wameondoka mapema leo kwenda kwenye majukumu yao.

Kama hivyo haitoshi Yanga ilipambana kuhakikisha angalau Djigui Diarra wa Mali, Kennedy Musonda wa Zambia na Khalid Aucho wa Uganda waweze kusalia kambini kucheza fainali ila nao imeshindikana kwa Diarra na Musonda kwakuwa Mashirikisho yao yamekaza ni Uganda pekee wameridhia Aucho aripoti baada ya fainali kwakuwa sio mbali. Kwanini imetokea hivyo?

Ni kuwa fainali ya FA CUP imepangwa muda ambao kalenda ya FIFA inaanza, huku inafahamika kuwa wachezaji walioitwa timu zao za taifa ni mali ya Federation hivyo kutoripoti mapema kambini ni kosa ambalo Mchezaji anaweza kukumbana na adhabu, huku kwenye kalenda rasmi huu ni wakati wa mechi za Kimataifa.

Mpaka hivi sasa Mali na Zambia tayari wametuma tiketi kwa Wachezaji wao na wanahitaji waliripoti kabla leo haijapita kambini, nje na hapo Yanga wamepewa taarifa Wachezaji hawatopokelewa na adhabu stahiki zitachukuliwa kwa Wachezaji. Maswali kichwani mwa Yanga mpaka hivi sasa ni je?

Yanga watakaidi amri na kuwatumia wachezaji hao kesho na kupokea adhabu? Ndicho kinasubiriwa mpaka hivi sasa, chanzo changu bado hakijapata maamuzi ya mwisho ya Yanga. Hizi ni taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa vyanzo vyangu hivyo uwezekano ni rotation kubwa ya kikosi kwa Yanga hapo kesho.

View attachment 2653776
Samahan iko alichonyenyua Mayele ni kombe au Blender ya kusaga juice n.k.
 
Dah! Mechi ya kesho tutabebwa tu na ubovu wa uwanja wa Mkwakwani. Maana Azam Fc siyo wazuri kwenye viwanja vya Mikoani, ukiwalinganisha na Yanga.

Ila ukija kwenye uhalisia! Azam wanalihitaji hili kombe kwa ari ya juu sana ukilinganisha na Yanga ambayo haina cha kupoteza. Yaani sijui ni kwa nini! Ninashindwa kabisa kuwapa Yanga nafasi ya kuchukua ubingwa hiyo kesho.
 
Kwa hiyo mnataka kusema hamlihitaji kombe kiviiile. Yanga bwana 🤣😂🤣
 
Sasa Azizi Ki naye ni wakumpigia mahesabu kama hoja ya kuonesha gape?

Au mnatafuta excuse tu na nyinyi muonekano mnalakujitetea iwapo matokeo yakaja against?

Mechi ya hapa kwa Mkapa dhidi ya USM ALGER mmesahau kwamba huyu jamaa ndio aliwafanya muonekane mpo 10 uwanjani.
Una roho ya mama wa kambo
 
Back
Top Bottom