bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia. Azam na YANGA. Simba haja achana na fadlu pia Azam ana uwanja WA mazoezi hivo hakuwa mlengwa , pia ilifahamika Azam wana mfukuzia ibenge hivo akabaki YANGA. Yes alipeleka ofa. Kumbe the special one aliikataa.
ALIDAI MOJA ya SABABU KUBWA ni KLABU HIYO kutokua hata na uwanja WA mazoezi.
Nimsaidie kwa nilivo ELEWA anamanisha KLABU haijielewi huwezi ukajiita mkubwa huna hata uwanja WA mazoezi KILA KITU kuomba OMBA TU. Kuweni na adabu yule ni KOCHA mkubwa ana walinzi wake IPO SIKU Kuna MTU atakula kibao cha uso kupalamia WATU. Felix minziro HUYO APO Hana KAZI mtawezana NAE NDO levo zenu, we UNAENDA kwa KOCHA mkubwa kama yule mnabahati mngeendelea SUMBUA kifuatacho SIJUI TU. SIO KILA MTU ni wakufata jiangalieni ohoooo.
Kwishaaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoooow ......Jah iz really