bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
- Thread starter
- #21
Hahaaaaaaa umekaa kishabiki mkuu UPO dunia GANI na dunia ya ngapi? ETI KOCHA NDO ANATUMIA cv WAO hawatafuti KOCHA MPAKA kufikia NMEKUA naongea na nani KWENYE tasnia ya michezo we ni MGENI.Acha kuandika uwongo hapa; hajasema hivyo. Na elewa kuwa Yanga huwa haifuati makocha bali wanatuma wenyewe CV zao.
Hakuna kocha yeyote mwenye busara anaweza kudharau timu ilihali kufundihsa timu ndiyo kazi yake. Ni kama ambavyo mchezaji wa mpira hawezi kutuoa matamshi ya dharau kwa timu yoyote isipokuwa kwa watatani wa jadi tu. Manzoki alitamka hivyo ikabidi meneja wake aingilie kati kumwonya na kumdhibiti.
Profesa nabi ALITUMWA cv kaizer? Au WAO NDO walimfata wakashindwan akasepa moroko KIPIND kile, ibenge NAE kaonba Azam au WAO NDO wamemfuata akaridhia. Xabi Alonso karma cv Madrid au WAO NDO wamemfuata? Be care na SEHEM unazo PATA tarifa fake news ni nyingi mkuu usiwasikiliz hao viongoz TU ukaridhika UPO APO
Kwishaaaaaaa