Mokwena mbona ni pimbi flani tu
Kwanza akija yanga afundishe anda tuenti sio sini-a
Kama ni pimbi MBONA viongozi WAKO ulio wachagua wamemfuata? Hivo nani pimbi kati yenu na YEYEMokwena mbona ni pimbi flani tu
Kwanza akija yanga afundishe anda tuenti sio sini-a
Una hoja ya msingi na hasa kwa hivi vilabu viwili vikongwe vya Yanga na simba kumosa viwanja vyao binafsi , halafu timu zilizoanzishwa miaka ya 2000 mfano Azam, JKT, KMC, nk zikimiliki viwanja vyao vizuri tu.Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia. Azam na YANGA. Simba haja achana na fadlu pia Azam ana uwanja WA mazoezi hivo hakuwa mlengwa , pia ilifahamika Azam wana mfukuzia ibenge hivo akabaki YANGA. Yes alipeleka ofa. Kumbe the special one aliikataa.
ALIDAI MOJA ya SABABU KUBWA ni KLABU HIYO kutokua hata na uwanja WA mazoezi.
Nimsaidie kwa nilivo ELEWA anamanisha KLABU haijielewi huwezi ukajiita mkubwa huna hata uwanja WA mazoezi KILA KITU kuomba OMBA TU. Kuweni na adabu yule ni KOCHA mkubwa ana walinzi wake IPO SIKU Kuna MTU atakula kibao cha uso kupalamia WATU. Felix minziro HUYO APO Hana KAZI mtawezana NAE NDO levo zenu, we UNAENDA kwa KOCHA mkubwa kama yule mnabahati mngeendelea SUMBUA kifuatacho SIJUI TU. SIO KILA MTU ni wakufata jiangalieni ohoooo.
Kwishaaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoooow ......Jah iz really
Tunaanza upya #YANGABINGWA#Kama ni pimbi MBONA viongozi WAKO ulio wachagua wamemfuata? Hivo nani pimbi kati yenu na YEYE
Kwishaaaaaaaa
Kweli umbumbumbuni hakuna hata mtu mmoja mwenye akili.Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia. Azam na YANGA. Simba haja achana na fadlu pia Azam ana uwanja WA mazoezi hivo hakuwa mlengwa , pia ilifahamika Azam wana mfukuzia ibenge hivo akabaki YANGA. Yes alipeleka ofa. Kumbe the special one aliikataa.
ALIDAI MOJA ya SABABU KUBWA ni KLABU HIYO kutokua hata na uwanja WA mazoezi.
Nimsaidie kwa nilivo ELEWA anamanisha KLABU haijielewi huwezi ukajiita mkubwa huna hata uwanja WA mazoezi KILA KITU kuomba OMBA TU. Kuweni na adabu yule ni KOCHA mkubwa ana walinzi wake IPO SIKU Kuna MTU atakula kibao cha uso kupalamia WATU. Felix minziro HUYO APO Hana KAZI mtawezana NAE NDO levo zenu, we UNAENDA kwa KOCHA mkubwa kama yule mnabahati mngeendelea SUMBUA kifuatacho SIJUI TU. SIO KILA MTU ni wakufata jiangalieni ohoooo.
Kwishaaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoooow ......Jah iz really
HAMNA mkuu mi SIO shabiki WA YANGA Wala Simba ni JAMBO TU limeni gusa mi ni Chelsea TUUna hoja ya msingi na hasa kwa hivi vilabu viwili vikongwe vya Yanga na simba kumosa viwanja vyao binafsi , halafu timu zilizoanzishwa miaka ya 2000 mfano Azam, JKT, KMC, nk zikimiliki viwanja vyao vizuri tu.
Ila sasa mada yenyewe umeileta kishabiki sana.
Soma VIZURI ACHA kukurupuka. UMEIONA SASA nacho zungumza we TENA unarudia kosa. SIJUI tulilogwa. Nmesema uwanja WA mazoezi HIZO KLABU unazo SEMA Zina VIWANJA VYA mazoezi soma VIZURI. SI VIWANJA VYA mashindano. Alafu HIZO za Milan SIO kua hawana wanao ILA wanachangia MmOJA.Kweli umbumbumbuni hakuna hata mtu mmoja mwenye akili.
Intermilan FC na AC Milan FC hazina uwanja halikadhalika Chelsea FC hukodi uwanja ila haimiliki na ndiyo Bingwa mpya wa klabu zote duniani, sembuse Yanga FC?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kipimo cha Yanga ni Simba?Nionyeshe uwanja wa mazoezi wa Simba ambao ana claim ni kwake kufikia kumsema Yanga hana uwanja wa mazoezi
Yanga wangemsainisha mkataba mokoena wangefeli sana kwa uwezo gani aliokua nao mokoenaKocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia. Azam na YANGA. Simba haja achana na fadlu pia Azam ana uwanja WA mazoezi hivo hakuwa mlengwa , pia ilifahamika Azam wana mfukuzia ibenge hivo akabaki YANGA. Yes alipeleka ofa. Kumbe the special one aliikataa.
ALIDAI MOJA ya SABABU KUBWA ni KLABU HIYO kutokua hata na uwanja WA mazoezi.
Nimsaidie kwa nilivo ELEWA anamanisha KLABU haijielewi huwezi ukajiita mkubwa huna hata uwanja WA mazoezi KILA KITU kuomba OMBA TU. Kuweni na adabu yule ni KOCHA mkubwa ana walinzi wake IPO SIKU Kuna MTU atakula kibao cha uso kupalamia WATU. Felix minziro HUYO APO Hana KAZI mtawezana NAE NDO levo zenu, we UNAENDA kwa KOCHA mkubwa kama yule mnabahati mngeendelea SUMBUA kifuatacho SIJUI TU. SIO KILA MTU ni wakufata jiangalieni ohoooo.
Kwishaaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoooow ......Jah iz really
Sasa kwanini umseme mwanzako anatumia nguo ya kuazima na wewe hata wewe unaazima?Kipimo cha Yanga ni Simba?
Udhaifu haualalishwi na udhaifu wa mpinzani. Udhaifu ni udhaifu.Sasa kwanini umseme mwanzako anatumia nguo ya kuazima na wewe hata wewe unaazima?
Acha kuandika uwongo hapa; hajasema hivyo. Na elewa kuwa Yanga huwa haifuati makocha bali wanatuma wenyewe CV zao.Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani