Hahaaaaaaa umekaa kishabiki mkuu UPO dunia GANI na dunia ya ngapi? ETI KOCHA NDO ANATUMIA cv WAO hawatafuti KOCHA MPAKA kufikia NMEKUA naongea na nani KWENYE tasnia ya michezo we ni MGENI.Acha kuandika uwongo hapa; hajasema hivyo. Na elewa kuwa Yanga huwa haifuati makocha bali wanatuma wenyewe CV zao.
Hakuna kocha yeyote mwenye busara anaweza kudharau timu ilihali kufundihsa timu ndiyo kazi yake. Ni kama ambavyo mchezaji wa mpira hawezi kutuoa matamshi ya dharau kwa timu yoyote isipokuwa kwa watatani wa jadi tu. Manzoki alitamka hivyo ikabidi meneja wake aingilie kati kumwonya na kumdhibiti.
YUle jamaa wa Ghana atakuja kuanza kuwakua, mnaokoteza sana vijitaarifa.Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia. Azam na YANGA. Simba haja achana na fadlu pia Azam ana uwanja WA mazoezi hivo hakuwa mlengwa , pia ilifahamika Azam wana mfukuzia ibenge hivo akabaki YANGA. Yes alipeleka ofa. Kumbe the special one aliikataa.
ALIDAI MOJA ya SABABU KUBWA ni KLABU HIYO kutokua hata na uwanja WA mazoezi.
Nimsaidie kwa nilivo ELEWA anamanisha KLABU haijielewi huwezi ukajiita mkubwa huna hata uwanja WA mazoezi KILA KITU kuomba OMBA TU. Kuweni na adabu yule ni KOCHA mkubwa ana walinzi wake IPO SIKU Kuna MTU atakula kibao cha uso kupalamia WATU. Felix minziro HUYO APO Hana KAZI mtawezana NAE NDO levo zenu, we UNAENDA kwa KOCHA mkubwa kama yule mnabahati mngeendelea SUMBUA kifuatacho SIJUI TU. SIO KILA MTU ni wakufata jiangalieni ohoooo.
Kwishaaaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoooow ......Jah iz really
Mkuu MBONA you tube ckip kibao mi NME kuletea taarifa unataka TENA nkulete na video kweli mkuu?YUle jamaa wa Ghana atakuja kuanza kuwakua, mnaokoteza sana vijitaarifa.
Leta hapa ushahidi kuwa Ynaga walimfuata Mokwena.
Leta ushahidi wa hayo mahojiano.
Interview yake ya zaidi ya saa moja ni hii hapa chini; tuambie ni wapi alipoiponda YangaHahaaaaaaa umekaa kishabiki mkuu UPO dunia GANI na dunia ya ngapi? ETI KOCHA NDO ANATUMIA cv WAO hawatafuti KOCHA MPAKA kufikia NMEKUA naongea na nani KWENYE tasnia ya michezo we ni MGENI.
Profesa nabi ALITUMWA cv kaizer? Au WAO NDO walimfata wakashindwan akasepa moroko KIPIND kile, ibenge NAE kaonba Azam au WAO NDO wamemfuata akaridhia. Xabi Alonso karma cv Madrid au WAO NDO wamemfuata? Be care na SEHEM unazo PATA tarifa fake news ni nyingi mkuu usiwasikiliz hao viongoz TU ukaridhika UPO APO
Kwishaaaaaaa
Kama ni shabiki wa chelsea basi ni shabiki mandazi..HAMNA mkuu mi SIO shabiki WA YANGA Wala Simba ni JAMBO TU limeni gusa mi ni Chelsea TU
Kwishaaaaa
Unalifahamu historia ya Chelsea we shabiki mla mihogo? Ukishiba mihogo tusikurupuke hujui historia ya ULE uwanja WEWE nyamaza. Nikijiridhisha NIDHAMU Yako TAKUPA historia yake usipende KUSOMA udaku unaleta HUKUKama ni shabiki wa chelsea basi ni shabiki mandazi..
Stanford bridge pia sio uwanja wa chelsea ni uwanja wa kanisa.
Chelsea hakunaga shabiki mandazi..
#KTBFFH
Uto wenye akili ni wawili tu, afadhari hao wawili wanaweza kufundisha wengine.Kweli umbumbumbuni hakuna hata mtu mmoja mwenye akili.
Intermilan FC na AC Milan FC hazina uwanja halikadhalika Chelsea FC hukodi uwanja ila haimiliki na ndiyo Bingwa mpya wa klabu zote duniani, sembuse Yanga FC?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ukitaka ku quote na reply fanya hivi ukipatia ndio tufundishane kusoma na kuandika mazee..VIPI mwandiko umekushinda KUSOMA? Usione aibu SEMA usaidiwe, SIO KILA MTU ana kichwa chepesi cha kujiongeza mkuu.
Kwishaaaaaa
Hujui KUSOMA au, ok pole nmegundua vichwa vinatofautiana ufahamu na akili ya kujiongeza. Feel SORY mkuu taongea na mwalimu WAKO WA chekechea Kuna vitu aliruka au WEWE NDO hukuelewa.Uto wenye akili ni wawili tu, afadhari hao wawili wanaweza kufundisha wengine.
Kolo hakuna mwenye nazo, uandishi unasadifu.
WALAU ungetengeneza hata app Yako, ukatuelekeza jinsi ya kutumia NINGE kuona mjanja. ILA nashangazwa uLIVO komaa kwa KITU cha MWANAUME mwenzio. Feel SORY mkuu kama uyajisikia vibaya. Good nightUkitaka ku quote na reply fanya hivi ukipatia ndio tufundishane kusoma na kuandika mazee..
Hizi id mpya za watu wa zamani mnaokuja kivingine ni miyeyusho sana.Hujui KUSOMA au, ok pole nmegundua vichwa vinatofautiana ufahamu na akili ya kujiongeza. Feel SORY mkuu taongea na mwalimu WAKO WA chekechea Kuna vitu aliruka au WEWE NDO hukuelewa.
Kwishaaaaa
Naelewa, tatizo hampendi kutumia jukwaa lenu la chit chat and jokesFeel SORY mkuu. Good night, kaka usipanic ni chalenji TU humu WOTE washkaji tunasukuma masaa TU mkuu.
Kwishaaaaaa
Kama hiyo ni mali ya Simba basi hata Avic toiwn ni mali halali ya YangaMo bunju arena ni zizi la ng'ombe mkuu?
Kwishaaaa