Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii iko serious, mkuu wasipobadilika wataliaSi uongo mkuu
Inamaana wakiweka Mpira dakika 90 hawana akili...?
Na je Hilo kipindi Cha pili Huwa anashindaga magoli mangapi..?
Watu wengine ni vichaa jamani.. yaan hata hauna hoja..Sio kwamba naitetea Yanga mimi ni Simba pyuuuu ila Huna hoja.
Juzi hapa Simba tumeshinda kule mbeya dakika za mwsho Ila points 3 kachukuwa nani.. nimezungumza hili kwa tahadhali, kwasababu imeonekana kuwa desturi sio kwamba
Hivi ni 'tahadhali' au ni 'tahadhari'nimezungumza kwa tahadhali,
asnte, ni tahadhariHivi ni 'tahadhali' au ni 'tahadhari'
Jambo zuri ila ajabu utatukanwanimezungumza kwa tahadhali,
ni kweli kabisa uyasemayo, lakini siku zote ukweli huwa mgumu kukubaliwaJambo zuri ila ajabu utatukanwa
Ukweli wako hatuutaki na hatutaki kuusikiani kweli kabisa uyasemayo, lakini siku zote ukweli huwa mgumu kukubaliwa
not uchambuzi bali ni maoni yangu angalia na ugumu wa mechi unaweza zingua kipindi cha kwanza wenzio wakakitumia then ukarudi kipindi cha pili timu pinzani wakakaza timu ika lala hoiii.Huu nao ni uchambuzi au utabiri au maono?
Kwahiyo waloweka dk 90 ni wajinga? Au ni lazima timu ishinde kipindi cha kwanza?
Jifunzeni kwanza mpira alafu ndo mje mjifanye wachambuzi
tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
Sawa ila kama unauwezo wa kutumia kipindi cha kwanza tumia pia kama una uwezo wa kutumia kipindi cha pili tumia hayo mengine ni maoni tu.not uchambuzi bali ni maoni yangu angalia na ugumu wa mechi unaweza zingua kipindi cha kwanza wenzio wakakitumia then ukarudi kipindi cha pili timu pinzani wakakaza timu ika lala hoiii.