Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Kweli bhana! Watu wakituonea kipindi cha kwanza halafu wakakaza itakuwa issue aisee. Hapa Nabi apatazame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa kunielewaKweli bhana! Watu wakituonea kipindi cha kwanza halafu wakakaza itakuwa issue aisee. Hapa Nabi apatazame
Maoni mazuri kabisa. Pamoja ma kwamba mpira ni dk90, kuurahisisha mchezo ni kitu muhimu sana. Kinawapa wachezaji kujiamini na kucheza kwa utulivu.tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
umesema vyema samaMaoni mazuri kabisa. Pamoja ma kwamba mpira ni dk90, kuurahisisha mchezo ni kitu muhimu sana. Kinawapa wachezaji kujiamini na kucheza kwa utulivu.
Kipindi cha pili ni kipindi chenye pressure kubwa. Ikitokea umewahiwa unakuwa kwenye hatari kubwa.
Jambo lingine ni matumizi sahihi ya nafasi. Huko tuendako hasa CAF Champion league uwezekano wa kupata clear chances nyingi sana ni mdogo.