Yanga kwa utaratibu huu watalia siku moja

Inamaana wakiweka Mpira dakika 90 hawana akili...?
Na je Hilo kipindi Cha pili Huwa anashindaga magoli mangapi..?
Watu wengine ni vichaa jamani.. yaan hata hauna hoja..Sio kwamba naitetea Yanga mimi ni Simba pyuuuu ila Huna hoja.
Juzi hapa Simba tumeshinda kule mbeya dakika za mwsho Ila points 3 kachukuwa nani..?
 
Huu nao ni uchambuzi au utabiri au maono?

Kwahiyo waloweka dk 90 ni wajinga? Au ni lazima timu ishinde kipindi cha kwanza?

Jifunzeni kwanza mpira alafu ndo mje mjifanye wachambuzi
 
Huu nao ni uchambuzi au utabiri au maono?

Kwahiyo waloweka dk 90 ni wajinga? Au ni lazima timu ishinde kipindi cha kwanza?

Jifunzeni kwanza mpira alafu ndo mje mjifanye wachambuzi
not uchambuzi bali ni maoni yangu angalia na ugumu wa mechi unaweza zingua kipindi cha kwanza wenzio wakakitumia then ukarudi kipindi cha pili timu pinzani wakakaza timu ika lala hoiii.
 
Muhimu timu inapata matokeo! Inaondoka na pointi 3 muhimu ndani ya dakika 90.

Hakuna timu yenye maamuzi ya kushinda ndani ya kipindi fulani! Maana hata hao wapinzani nao kwa wakati huo wanakuwa wanacheza ili washinde. Atakaye zidiwa mbinu na uwezo, ndiye atakayefungwa.
 
tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
Your browser is not able to display this video.
 
not uchambuzi bali ni maoni yangu angalia na ugumu wa mechi unaweza zingua kipindi cha kwanza wenzio wakakitumia then ukarudi kipindi cha pili timu pinzani wakakaza timu ika lala hoiii.
Sawa ila kama unauwezo wa kutumia kipindi cha kwanza tumia pia kama una uwezo wa kutumia kipindi cha pili tumia hayo mengine ni maoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…