Maoni mazuri kabisa. Pamoja ma kwamba mpira ni dk90, kuurahisisha mchezo ni kitu muhimu sana. Kinawapa wachezaji kujiamini na kucheza kwa utulivu.
Kipindi cha pili ni kipindi chenye pressure kubwa. Ikitokea umewahiwa unakuwa kwenye hatari kubwa.
Jambo lingine ni matumizi sahihi ya nafasi. Huko tuendako hasa CAF Champion league uwezekano wa kupata clear chances nyingi sana ni mdogo.