Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90 USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga pamoja na kuwa na wachezaji bora kwa ligi ya ndani ila linapokuja swala la mashindano ya kimataifa hasa Champions leage" na "Confederation" lazima iwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viuongo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako hasa kwa mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Naheshimu uwezo wa kina Fei na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko hasa endapo Aucho au Bangala wakiwa hawako sawa.

6. Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Badala ya kujifunza kwa wanaobeba makombe unajifunza kwa watu ambao kombe lao ni robo fainali?
 
Unavyo ongea hivyo ni kama vile Simba hua ina shinda nne kila mechi
 
kama mshabiki kindaki ndaki wa yanga naunga mkono hoja
 
NAKATAA KATA KATA... WEWE SIYO YANGA. NAKATAA KABISA. YANGA HAWEZI KUWA NA AKILI KAMA ZAKO. YANGA HAWEZI WAZA NAMNA HIII... MWANAYANGA ATAPINGA KILA SIMBA INACHOFANYA... NDO YANGA TULIVYO . WEWE UNAONEKANA UNAUJUA MPIRA NA UNAUPENDA SIYO MSHABIKI WA YANGA.
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga ina wachezaji bora ila nadhani ni kwa ligi ya ndani. Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa km Champions leage" na "Confederation" lazima uwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viungo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako kwenye mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Mfano yule Aziz Ki wa Asec.Naheshimu uwezo wa kina Fei,Ntibazonkiza na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko ili endapo Aucho au Bangala hawako sawa asaidie.

7.Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ukiniambia huko Kimataifa Makolo kachukua kombe gani nitakuja kuujibu huu uharo wako
mimi nilikasirika sana Luc Eymael aliposema wanayanga ni Mbwa na Nyani tu... nilikasirika sana. ila kwa haya maneno yako. naona nilikasirika bure tu. jamaa jana wamekunja mil 800,000,000. africa inawaheshimu wapo nafasi ya 12 katika klabu bora Africa. wewe bado unakuwa na wivu wa kike? roho ya kichawi na maisha ya kimaskini? why lakini kakijana kadogo uwe na roho mbaya ,chafu yenye kujaa mapepo? utakufa mapema sana kwa sababu ya kuwa na roho mbaya....umekauka na roho kukauka... unaishi katika kwa shida,mateso na chuki binafsi. Simba si wa kujilinganisha nao kimafanikio.. tufikie hatua Upumbavu tuuweke pembeni. roho mbaya haijengi ni kujitesa tu kwa chuki n.k
 
Wewe ni shabiki halisi wa Yanga. Kila ulicho kiandika kina ukweli. Naamini Viongozi kama wapo humu, basi watafanyia kazi.

Lakini pia nichukue nafasi hii kuwapongeza watani wetu Simba kwa kufuzu robo fainali Kombe la Shirikisho. Naamini utani tulio watania, umechangia kwa sehemu yake kwenye mapambano yao.

Na wajitahidi wafike nusu fainali sasa! Siyo kuvimba tu kichwa. Ushindi wa jana umeshapita. Hivyo wajipange kwa hatua inayo fuata.

Na sisi Yanga Insha Allah msimu ujao hatutaishia tena hatua ya awali.
Daah kwa Mara ya kwanza Leo nimeona comment yako ya kiwanamichezo ,Kama tutakua namna hii kukubali ushauri wa mpinzan wako na kuukubali ukweli tutafika mbali.
Simba nao wana mapungufu mengi Sana na tunapokosolewa tukubali km walivyokubali wenzetu hawa ,sisi ni nchi moja na tunapaswa tuwe na timu hata tatu ambazo ni tishio huko kimataifa .
 
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga ina wachezaji bora ila nadhani ni kwa ligi ya ndani. Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa km Champions leage" na "Confederation" lazima uwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viungo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako kwenye mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Mfano yule Aziz Ki wa Asec.Naheshimu uwezo wa kina Fei,Ntibazonkiza na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko ili endapo Aucho au Bangala hawako sawa asaidie.

7.Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
IMG-20220404-WA0016.jpg
 
Wewe ni shabiki wa mpira, unajua mpira hongera sana.

Nakubaliana na hoja zako.

Simba Nguvu Moja
 
mimi nilikasirika sana Luc Eymael aliposema wanayanga ni Mbwa na Nyani tu... nilikasirika sana. ila kwa haya maneno yako. naona nilikasirika bure tu. jamaa jana wamekunja mil 800,000,000. africa inawaheshimu wapo nafasi ya 12 katika klabu bora Africa. wewe bado unakuwa na wivu wa kike? roho ya kichawi na maisha ya kimaskini? why lakini kakijana kadogo uwe na roho mbaya ,chafu yenye kujaa mapepo? utakufa mapema sana kwa sababu ya kuwa na roho mbaya....umekauka na roho kukauka... unaishi katika kwa shida,mateso na chuki binafsi. Simba si wa kujilinganisha nao kimafanikio.. tufikie hatua Upumbavu tuuweke pembeni. roho mbaya haijengi ni kujitesa tu kwa chuki n.k
Jamani hii ndo point ya mwaka kutoka kwa mwana Yanga. Kudos bro nadhani imemtosha ukiongeza hapa atatapika.
 
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga ina wachezaji bora ila nadhani ni kwa ligi ya ndani. Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa km Champions leage" na "Confederation" lazima uwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viungo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako kwenye mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Mfano yule Aziz Ki wa Asec.Naheshimu uwezo wa kina Fei,Ntibazonkiza na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko ili endapo Aucho au Bangala hawako sawa asaidie.

7.Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
haya ndiyo mawazo positive kabisa siyo wale kina Genta know siku uchawiy, simba inapambanae inaingia robo fainal mtu anakuja anakwambia Simba mbovu.
 
Kama kuna cha kujifunza Yanga kitoka kwa Simba kwenye international games ni jinsi ya kuroga tu.
Ndiyo maana mechi na Rivers mliroga, mkidhani uchawi unacheza mpira mkaenda kuruka ruka uwanjani na beji yenu ya VISIT ZANZIBAR, mechi mbili mkapigwa nyuma na mbele, mkarudi kusubiri Tena mwakani km mtaweza kuuchomoa ule mwiko mliozamishiwa.

Makolo/Wanaumme wanapambana hasa . Si shughuli ya wavulana ile.

Mtabaki mnatetemesha maziwa na kina Geita, mafunzo na mbuni fc mkidhani mmefika.
 
Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Wewe ni shabiki halisi wa Yanga. Kila ulicho kiandika kina ukweli. Naamini Viongozi kama wapo humu, basi watafanyia kazi.

Lakini pia nichukue nafasi hii kuwapongeza watani wetu Simba kwa kufuzu robo fainali Kombe la Shirikisho. Naamini utani tulio watania, umechangia kwa sehemu yake kwenye mapambano yao.

Na wajitahidi wafike nusu fainali sasa! Siyo kuvimba tu kichwa. Ushindi wa jana umeshapita. Hivyo wajipange kwa hatua inayo fuata.

Na sisi Yanga Insha Allah msimu ujao hatutaishia tena hatua ya awali.
Safi, simba wanatakiwa kujipanga hasa.

Mm simba lkn ukweli Yanga wanatakiwa kujiimarisha Sana kwa ajili ya kimataifa. Nilimwambia mtu huwezi kumtegemea Mayele ktk champions league akupe matokeo. Hakunielewa, lkn juzi Nabi alisema wanahitaji top straiker mwenye viwango zaidi ya Mayele.
 
Kwahiyo wale kina Mugalu, Boko na Kagere ndio wanamzidi Mayele?

Acha bangi.
 
Badala ya kujifunza kwa wanaobeba makombe unajifunza kwa watu ambao kombe lao ni robo fainali?
Angalau hao ambao kombe lao ni robo faifali maana mshiko wake ($ 350,000) si wa kitoto!! Kuliko ambao kombe lao ni kucheza mechi mbili hatua za awali na kutolewa!!
 
Safi, simba wanatakiwa kujipanga hasa.

Mm simba lkn ukweli Yanga wanatakiwa kujiimarisha Sana kwa ajili ya kimataifa. Nilimwambia mtu huwezi kumtegemea Mayele ktk champions league akupe matokeo. Hakunielewa, lkn juzi Nabi alisema wanahitaji top straiker mwenye viwango zaidi ya Mayele.
Ni shabiki maandazi pekee ndo atasema Yanga imekamilika. 'But,' kwa shabiki kamili anaejua mpira na anaeitakia mema Yanga SC lazima atakubaliana na mimi kuwa bado Yanga wapo kwenye kipindi cha mpito cha kutengeneza timu. Lazima kuwe na "ingia toka" hadi kuwa na kikosi imara,na kwa sasa wapo kwenye "right track" labda wajivuruge wao wenyewe.

Back
Top Bottom