Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

Km ulozi/uchawi ungekua unasaidia basi Taifa Stars ingekuwa imechukua kombe la dunia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kusema Yanga isajili Wachezaji Bora kama wa Simba huo ni uhuni. Ni Wachezaji wachache Sana Simba wanaweza kucheza Yanga. Kwa uliowataja ni Shabalala pekee mwenye uhakika wa namba Yanga.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Acheni utani bana! Hv Morrison unamlinganisha na nani pale Yanga. Njoo kwa Sakho,speed,dribbling ability,passing zake unamlinganisha na nani? Njoo kwa beki kisiki Onyango,angalia utulivu wake na jinsi anavyoweza kuipush timu mbele. Tuwe wakweli Simba kuna vitu wanatuzidi japo Yanga itaweza kufikia huo ubora kwa siku zijazo ila sio sasa. Tusipime ubora wa timu zetu kwa mechi za ndani pekee.Mpira wa Tz unamambo mengi sana ya nje ya uwanja km siasa tu!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Acheni utani bana! Hv Morrison unamlinganisha na nani pale Yanga. Njoo kwa Sakho,speed,dribbling ability,passing zake unamlinganisha na nani? Njoo kwa beki kisiki Onyango,angalia utulivu wake na jinsi anavyoweza kuipush timu mbele. Tuwe wakweli Simba kuna vitu wanatuzidi japo Yanga itaweza kufikia huo ubora kwa siku zijazo ila sasa. Tusipime ubora wa timu zetu kwa mechi za ndani pekee.Mpira wa Tz unamambo mengi sana ya nje ya uwanja km siasa tu!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wachezaji wa Simba wanacheza ndio hao tu? Mbona hausemi Mugalu utamlinganisha na nani? Mkude, Mzamiru, Kanoute, boko, Kagere, Kibu, n.k. kwa kifupi hao uliowataja ndio mashabiki wa Simba wanawaona ndio wachezaji lakini walkobaki ni wakutupwa. Lakini je mechi ya juzi je imeamuliwa na watu hao hao ambao wanaimbwa kuwa ni wabovu.

Halafu nimegundua una mahaba ya utimu. Unamuongelea eti Onyango ni beki kisiki wakati tunaona Onyango ana madhaifu makubwa sana. Ukiniambia nikutajie beki bora wa Simba nitakutajua Inonga lakini Onyango ana mapungufu ambayo mara nyingi anasaidiwa na wengine ila Inonga ni package iliyokamilika.

Morrison [emoji15][emoji15][emoji15] yaani ule uchezaji wa Morrison wa kutaka sifa badala ya kusaidia timu ndio unaona ni bora. Kumbe mchezaji bora kwako ni yule anayepiga sana chenga. Morrison ni mchezaji ambaye anakufurahisha mara moja halafu atakukera mara mia. Na aina ya uchezaji wake ni rahisi sana kwa mabeki kumkaba. Na akikabwa unaona anajidondosha dondosha kama ana degedege.

Sakho ni mtu japo ni mbinafsi sana
 
Mashabiki km nyie ndio mmesababisha timu zetu zisiendelee kwa kuendekeza mahaba uchwala badala ya kuzungumza ukweli. Watu wanaingia robo fainali ya 3 ndani ya miaka 4 bado unaamini hawana kikosi bora?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wewe ndio unaleta mahaba. Mbona nimekwambia twende kwa hoja umeshindwa kiujibu hoja? Simba wamefanikiwa kufanya vizuri ni kwasababu ya kujipanga kikamilifu hasa linapokuja mechi za nyumbani. Unakumbuka Simba iliyotolewa na UD Songo? walifanya mabadiliko makubwa ya kuongeza wachezaji wengine huku wakiacha wachezaji wawili tu ambaye alikuwa ni Okwi na yule mkata umeme. Lakini timu ikatolewa raundi ya awali tu, na hiyo imetokea kwasababu ya kutokujipanga. Sababu ya kutojipanga inawezekana ni kubweteka na matokeo ya away kama ilivyokuwa kwa Galaxy ni hali hali hiyo ya kutojipanga kwa kubweteka na matokeo ya away. Huko juu nimekuuliza kabla ya mechi ya juzi ni mshabiki gani wa Simba alikuwa anataka Mugalu abakie kikosini msimu ujao?
 
Mchezaji mmoja mwenye uwezo na kipaji kikubwa anaweza kuibeba timu mabegani mwake hata km wenzake wana kiwango cha kawaida.Navosema Simba ni bora simaanisha wachezaji wote wanaubora unaofanana. Simba ina wachezaji kadhaa wenye uwezo binafsi mkubwa lakini pia wanatimu bora. Yaani karibu kila mchezaji ameingia kwenye mfumo kutokana na kucheza kwa mda mrefu wakiwa pamoja huku kukiwa na maingizo mapya machache. Yanga ndio kwanza imeanza kutengenezwa msimu huu.Kuongoza ligi si kigezo kwamba Yanga ina ubora mkubwa kiivyo! bado kuna mapunguvu mengi ambayo km unaenda kimataifa bila kurekebisha italeta shida.

1) timu bora inaweza kupata matokeo popote pale haijalishi uwanja fulani peke yake. Timu ikiwa inafungwa mechi za away magoli mengi halafu mechi za nyumbani pekee ndio anatamba hata acheze na nani, basi kuna kitu cha ziada anachotegemea ndani ya ardhi ya nyumbani kwake.

2) umesema kuwa sio wachezaji wote wa Simba wana ubora unaofanana ukiwa na maana kuwa wengine wana uwezo wa kawaida, nilitegemea hapa kungekuwa na utofauti kwa maana wachezaji wote kuwa na uwezo mkubwa. je timu yako ya Yanga wachezaji waliosajili msimu huu hakuna wenye ubora? Na vipi kuhusu kuingia kwene mfumo bado hawajaingia kwenye mfumo?

3) kuongoza ligi sio kigezo cha ubora kwa mujibu wa maelezo yako, sawa inaweza kuwa hivyo. Je kuchukua kombe ni kigezo cha ubora au lah?
 
Hatari
IMG-20220405-WA0004.jpg
 
Badala ya kujifunza kwa wanaobeba makombe unajifunza kwa watu ambao kombe lao ni robo fainali?
kwa sasa Africa , Yanga Ni km mbuni FC. Sasa mbuni hawezi kupanda ndege kwenda Cairo kwa Al Ahly kujifunza. Simba ndiyo ambayo Ina mwanga kwa ukanda huu. Km hujawahi hata kuongoza group stage unaendaje Al Above kujifunza. Unaanza kwa simba akupe mbinu za angalao kufika quarter final.

KWASASA Simba ndiyo ina uwezo wa kwenda kunifunz kwa wakubwa zaidi yake ambao tayari wanamfahamu.

Yanga Ni timu kongwe siyo KUBWA. Kwasasa Africa Ni underdog.

Mwakani mechi 2 chali, watarudi hapa.

Huwezi kuamka leo asubuhi na kufanikiwa. Kuna mahali unatakiwa uanzie.

Ni wagonjwa tu wa akili (gentamycine) wanoweza kubeza mafanikio ya simba.
 
Hii ndio inaitwa linear thinking na ni mbaya sana. Watu wa hivi hawawezi kuamini mambo makubwa yanaweza kufanyika ndani ya muda mfupi.
 
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga ina wachezaji bora ila nadhani ni kwa ligi ya ndani. Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa km Champions leage" na "Confederation" lazima uwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viungo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako kwenye mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Mfano yule Aziz Ki wa Asec.Naheshimu uwezo wa kina Fei,Ntibazonkiza na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko ili endapo Aucho au Bangala hawako sawa asaidie.

7.Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.
ADVICE TAKEN
 
Mi sio chochote cha kujifunza labda Simba achukue kombe la kimataifa ila kurukaruka huko ndo nini
 
Mchezaji mmoja mwenye uwezo na kipaji kikubwa anaweza kuibeba timu mabegani mwake hata km wenzake wana kiwango cha kawaida.Navosema Simba ni bora simaanisha wachezaji wote wanaubora unaofanana. Simba ina wachezaji kadhaa wenye uwezo binafsi mkubwa lakini pia wanatimu bora. Yaani karibu kila mchezaji ameingia kwenye mfumo kutokana na kucheza kwa mda mrefu wakiwa pamoja huku kukiwa na maingizo mapya machache. Yanga ndio kwanza imeanza kutengenezwa msimu huu.Kuongoza ligi si kigezo kwamba Yanga ina ubora mkubwa kiivyo! bado kuna mapunguvu mengi ambayo km unaenda kimataifa bila kurekebisha italeta shida.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tusubiri tarehe 30 tutajua mwenye kikosi kizuri
 
Back
Top Bottom