Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

Badala ya kujifunza kwa wanaobeba makombe unajifunza kwa watu ambao kombe lao ni robo fainali?
 
Unavyo ongea hivyo ni kama vile Simba hua ina shinda nne kila mechi
 
simba wanachoweza kuifundisha Yanga ni kuucheza mpira nje ya uwanja kwa kununua mechi au kuhonga marefa na ma-linesman tuuu ili kupata ushindi na si vinginevyo …..
 
kama mshabiki kindaki ndaki wa yanga naunga mkono hoja
 
NAKATAA KATA KATA... WEWE SIYO YANGA. NAKATAA KABISA. YANGA HAWEZI KUWA NA AKILI KAMA ZAKO. YANGA HAWEZI WAZA NAMNA HIII... MWANAYANGA ATAPINGA KILA SIMBA INACHOFANYA... NDO YANGA TULIVYO . WEWE UNAONEKANA UNAUJUA MPIRA NA UNAUPENDA SIYO MSHABIKI WA YANGA.
 
Ukiniambia huko Kimataifa Makolo kachukua kombe gani nitakuja kuujibu huu uharo wako
mimi nilikasirika sana Luc Eymael aliposema wanayanga ni Mbwa na Nyani tu... nilikasirika sana. ila kwa haya maneno yako. naona nilikasirika bure tu. jamaa jana wamekunja mil 800,000,000. africa inawaheshimu wapo nafasi ya 12 katika klabu bora Africa. wewe bado unakuwa na wivu wa kike? roho ya kichawi na maisha ya kimaskini? why lakini kakijana kadogo uwe na roho mbaya ,chafu yenye kujaa mapepo? utakufa mapema sana kwa sababu ya kuwa na roho mbaya....umekauka na roho kukauka... unaishi katika kwa shida,mateso na chuki binafsi. Simba si wa kujilinganisha nao kimafanikio.. tufikie hatua Upumbavu tuuweke pembeni. roho mbaya haijengi ni kujitesa tu kwa chuki n.k
 
Daah kwa Mara ya kwanza Leo nimeona comment yako ya kiwanamichezo ,Kama tutakua namna hii kukubali ushauri wa mpinzan wako na kuukubali ukweli tutafika mbali.
Simba nao wana mapungufu mengi Sana na tunapokosolewa tukubali km walivyokubali wenzetu hawa ,sisi ni nchi moja na tunapaswa tuwe na timu hata tatu ambazo ni tishio huko kimataifa .
 
 
Wewe ni shabiki wa mpira, unajua mpira hongera sana.

Nakubaliana na hoja zako.

Simba Nguvu Moja
 
Jamani hii ndo point ya mwaka kutoka kwa mwana Yanga. Kudos bro nadhani imemtosha ukiongeza hapa atatapika.
 
haya ndiyo mawazo positive kabisa siyo wale kina Genta know siku uchawiy, simba inapambanae inaingia robo fainal mtu anakuja anakwambia Simba mbovu.
 
Kama kuna cha kujifunza Yanga kitoka kwa Simba kwenye international games ni jinsi ya kuroga tu.
Ndiyo maana mechi na Rivers mliroga, mkidhani uchawi unacheza mpira mkaenda kuruka ruka uwanjani na beji yenu ya VISIT ZANZIBAR, mechi mbili mkapigwa nyuma na mbele, mkarudi kusubiri Tena mwakani km mtaweza kuuchomoa ule mwiko mliozamishiwa.

Makolo/Wanaumme wanapambana hasa . Si shughuli ya wavulana ile.

Mtabaki mnatetemesha maziwa na kina Geita, mafunzo na mbuni fc mkidhani mmefika.
 
 

Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Safi, simba wanatakiwa kujipanga hasa.

Mm simba lkn ukweli Yanga wanatakiwa kujiimarisha Sana kwa ajili ya kimataifa. Nilimwambia mtu huwezi kumtegemea Mayele ktk champions league akupe matokeo. Hakunielewa, lkn juzi Nabi alisema wanahitaji top straiker mwenye viwango zaidi ya Mayele.
 
Kwahiyo wale kina Mugalu, Boko na Kagere ndio wanamzidi Mayele?

Acha bangi.
 
Badala ya kujifunza kwa wanaobeba makombe unajifunza kwa watu ambao kombe lao ni robo fainali?
Angalau hao ambao kombe lao ni robo faifali maana mshiko wake ($ 350,000) si wa kitoto!! Kuliko ambao kombe lao ni kucheza mechi mbili hatua za awali na kutolewa!!
 
Ni shabiki maandazi pekee ndo atasema Yanga imekamilika. 'But,' kwa shabiki kamili anaejua mpira na anaeitakia mema Yanga SC lazima atakubaliana na mimi kuwa bado Yanga wapo kwenye kipindi cha mpito cha kutengeneza timu. Lazima kuwe na "ingia toka" hadi kuwa na kikosi imara,na kwa sasa wapo kwenye "right track" labda wajivuruge wao wenyewe.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…