Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

 
Angalau hao ambao kombe lao ni robo faifali maana mshiko wake ($ 350,000) si wa kitoto!! Kuliko ambao kombe lao ni kucheza mechi mbili hatua za awali na kutolewa!!
Jifunze ku edit michango yako kabla ya kupost.
 
Kwahiyo wale kina Mugalu, Boko na Kagere ndio wanamzidi Mayele?

Acha bangi.
Mimi huwa natumia ubongo.

Hakuna mahali nimewalinganisha mugalu na kagere vs Mayele. Wala sijawazungumzia.Punguza ushabiki maandazi.

Tatu hapa tunazungumzia mechi za kimataifa kwamba Yanga wanahitaji straik a bora zaidi ( bora zaidi ya Mayele, sijui km umeelewa) kwa ajili ya uhakika wa kupata matokeo kimataifa.

Kumbuka Huyu Mayelle alifungwa nje ndani na Simba akiwa asVita club.Na waliishia makundi.

Kama Ni bangi basi alivuta kocha wako Nabi aliyeona mbali na kusema wanahitaji straika wa viwango zaidi ya Mayele kwa ajili mwakani kimataifa..

Mayelle anaweza kuwa bora kwa ligi yetu tu kimataifa asikupe matokeo.

Sasa kimataifa Mayele na Mugalu Nani bora.mugalu ana goli 2 ,ambazo mayele Hana.

Wewe Ni mjinga flani ivi ambae anasoma na haelewi bali kuhemka na kuanzae kudemka.

HAKUNA UTOPOLO mwenye akili! Ni Manara alisema,siyo mm.
 
😀😀 😀 😀 I see. Mbona umewashusha sana thami vyura FC?
 
Simba kukutana na
Pirates
Tp mazembe
Al hilaly Tripoli

Kati ya hizi 3
 
Mkuu nachelea kukwambia karibu msimbazi utoke uko kwa misukule yule mchumia tumbo alishawambia kua uko mwenye akili ni wawili2 waliosalia wote wanaugua USONJI
 
Wewe ni miongoni mwa wanamichezo. Unafaa kuigwa.
 
hawana akili hizo za kukuelewa, labda muwa-format vichwa vyao mu-install ubongo mwingine.
 
Wajifunze kufika robo finally? Kwann wasijifunze kwa TP Mazembe ?
 
Mimi nitapishana kimawazo na wewe. Yanga wanaweza wakasajili hao wachezaji bora kama uliowashauri na bado wasifikie mafanikio walioweza kuyapata simba kwenye michuano ya kimataifa. Swala la simba sidhani kama ni kwamba wana wachezaji bora wa kimataifa bali wamejipanga zaidi kwa mechi za home, Simba wanaweza kuwa mnyonge ughaibuni lakini wanapokuwa uwanja wa mkapa wanabadilika kuwa mazombi kiasi kwamba kila aliyekuwa akisemwa kwa kiwango kibovu anabadilika anakuwa mithili ya Neymar. Hapa ndipo pa Yanga kujifunza kwa Simba kuwa wanawezaje, au wanafanyaje. Nilishawahi kusema humu kuwa laiti kama hizi timu zisingejengwa katika misingi ya uhasama basi tungeshuhudia uongozi wa Yanga ikienda kuomba ushauri mwa Simba mbinu gani wanafanya ikibidi hata timu zote kupeana nguvu inapokuja mchuano ya kimataifa.

Lakini ndio kwanza Yanga imekuwa na wivu, unafiki, husuda, na kujifanya wajuaji kwamba wanaweza kufanya makubwa zaidi lakini wanaishia kudondokea pua hatua ya awali tu.
 
Unazani Simba ingekuwa na kina ajibu,Edo Christopher,Ndemla na Kichuya ingeweza kushinda mechi za nyumbani dhidi Al ahly? Try to be serious. Simba imewekeza kwenye kusajili wachezaji bora ndio maana inaweza kushinda home games.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Na mimi nakuuliza swali je kama hao wachezaji ni bora kwanini mechi za away hawaoneshi ubora wao?
 
Mpaka hapo hilo swali haliwezi kuwa valid kwsababu nikitu cha kufikirika zaidi na hakuwezi kuwa na uhalisia. Hapo wewe umetumia hisia kuwa Simba wangekuwa na akina Ajibu wasingefanya vyema mechi za nyumbani.

Twende kwenye fact sasa

Hivi kwanzia msimu huu umeanza ni shabiki gani wa simba ambaye alikuwa yuko proud na uwepo wa Mugalu?

Mashabiki wa Simba waliamini msimu huu ukiachana na Sakho, Inonga, na Tshabalala na Onyango hawana mchezaji wa maana walionao. Humu jukwaa la michezo walifikia kutaja wachezaji wanaopaswa kuachwa na hiyo yote ni kutokana kuwa ni wachezaji wa kawaida sana ( wameshuka kiwango)
Kanoute ni mchezaji ambaye ilionekana aliyemsajili kaleta garasa. Sio mimi niliyesema bali mashabiki wa Simba na ushahidi upo humu jukwaani. Lakini haya yote yanayosemwa mashabiki wanakereka kutokana performance za wachezaji katika mashindano yote kwa ujumla.

Lakini linapokuja uwanja wa Mkapa kwenye michuano ya kimataifa kwa Simba, hakuna mchezaji mbovu, boko ambaye anasemwa kila kukicha kwa ubovu lakini ikifikia kupangwa kwenye mechi za kimataifa kwa Mkapa awi tena Boko bali ni CR7.

Yanga kujifunza kwa Simba wakiishia kuiga kwa usajili wa ma professional eti ndio tiba watachemka. Kama wana nia ya kufuata nyayo za Simba basi wakae nao chini waombe mbinu na namna ambayo imefanikisha japo najua ni jambo ni ngumu kupewa ushirikiano kwa asilimia mia kutokana na namna hizi klabu zilivyojiwekea uhasama baina yao
 
Kwahiyo wale kina Mugalu, Boko na Kagere ndio wanamzidi Mayele?

Acha bangi.
Sasa mayele mfuga ng'ombe ana magoli mangapi kweny shirikisho?m naona mugalu anamzidi mbalii...kweny nbc magoli yale ni ya kununua tu .
 
Mashabiki km nyie ndio mmesababisha timu zetu zisiendelee kwa kuendekeza mahaba uchwala badala ya kuzungumza ukweli. Watu wanaingia robo fainali ya 3 ndani ya miaka 4 bado unaamini hawana kikosi bora?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…