Yanga lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year wakiweka tangazo la graphics simba vs yanga basi logo ya simba wanatoa wekundu wanaweka kijani ,

Walishagombana hata na vodacom hawataki wadhamini watumie ile rangi nyekundu ya logo yao.... Imbeciles, dunderheads.

 
Sasa si ndo mpira wa Tanzania ulivyo. Wakibwege
 
Unatarajia nini kama hayo ni maelekezo ya mganga wao?
 
Mwenye hela ndiyo nembo yake.Acheni kulilia mirangirangi.Au hamtaki mahela?Mnataka kuung'ata mkono utakaoleta "lishe" msiwe Ombaomba FC?😂😂😂😂
Sio kullilia mirangi... Tanzania HAKUNA Twiga Wekundu, kwahiyo hao NBC waache ukolo wao!! Twiga ni Nembo ya Taifa!! Kwanini waichafue nembo yetu? Huyo Twiga mwekundu awekwe tu kwenye jezi zaMakolo, lakini Yanga tunahitaji rangi ya twiga halisi


SEMA NO KWA UHUNI WOWOTE UNAOWEZA KUFANYIKA DHIDI YA NEMBO YETU
 
Mnatabu sana Utopwenge!Ngoja tuone kama mtakataa kuubugia "mkate" wa mhisani.😝😝😝😝😝
HALAFU:Mbadilishe na rangi ya damu zenu.
 
Utopwinyo mafundi wa kurekebisha logo za watu subiri uone ya kwao sasa uchafu mtupu hadi francis cheka yuko kwenye nembo na wacheza netball
 
Hivi kweli unaongea ukiwa timamu? Kweli?? Mtu unafikia kujitoa ufahamu hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…