Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mtu makini sana ila likija swala la yanga sijui hua anapatwa na nini.Hivi kweli unaongea ukiwa timamu? Kweli?? Mtu unafikia kujitoa ufahamu hivyo?
Hili nakuunga mkono asee. Waiboreshe nembo yao tu, sio kwa simba. Utawekaje twiga mwekundu.Sio kullilia mirangi... Tanzania HAKUNA Twiga Wekundu, kwahiyo hao NBC waache ukolo wao!! Twiga ni Nembo ya Taifa!! Kwanini waichafue nembo yetu? Huyo Twiga mwekundu awekwe tu kwenye jezi zaMakolo, lakini Yanga tunahitaji rangi ya twiga halisi
View attachment 1964435
SEMA NO KWA UHUNI WOWOTE UNAOWEZA KUFANYIKA DHIDI YA NEMBO YETU
mimi naiona hiyo rangi ni ya brown (burnt sienna) ambayo ndo rangi ya twiga hivyo hawana haja ya kuikataaKesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year wakiweka tangazo la graphics simba vs yanga basi logo ya simba wanatoa wekundu wanaweka kijani ,
Walishagombana hata na vodacom hawataki wadhamini watumie ile rangi nyekundu ya logo yao.... Imbeciles, dunderheads.
View attachment 1964390
Hakuna hiyo ilikuwa zamani kwa sasa hayo hayapoKesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year wakiweka tangazo la graphics simba vs yanga basi logo ya simba wanatoa wekundu wanaweka kijani ,
Walishagombana hata na vodacom hawataki wadhamini watumie ile rangi nyekundu ya logo yao.... Imbeciles, dunderheads.
View attachment 1964390
Huu mchezo hautaki hasira, rangi ya Twiga Inajulikana na watatueleza huyo Twiga mwekundu walimtoa wapi?Na akili kama hizi ndio zimelifikisha soka hapa, eti watafute pa kuupeleka , wewe kwenye timu unamchango gani, zaidi ya kupiga kelele tu?!!mambo ya kishamba sana hayo!!
Huyu labda atakuwa kwenye ile mbuga ya Mwendazake Burigi Chato,Kigwangala aje atuambie.Huu mchezo hautaki hasira, rangi ya Twiga Inajulikana na watatueleza huyo Twiga mwekundu walimtoa wapi?
Sasa wajichanganye, oooh Twiga awe mwekundu na tangu lini dunia hii kuna huyo wa rangi nyekunduHuyu labda atakuwa kwenye ile mbuga ya Mwendazake Burigi Chato,Kigwangala aje atuambie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio walivyo mkuu kama msukule alivyosema 👇👇👇Hivi kweli unaongea ukiwa timamu? Kweli?? Mtu unafikia kujitoa ufahamu hivyo?
Na Bado Tukawanyoosha Tar 25 [emoji23][emoji23]Utopwise aka Utopwinyo aka Manyani aka Gongowazi aka Gongobinuka aka Vyura ze macho aka ....![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia nzima hakuna Twiga mwekundu na sisi kama Dar es Salaam Young Africans tunataka rangi halisi ya Twiga ndio ikae kwenye nembo na hili lipo wazi kabisa
Hapo hakuna mjadala
Mtani hilo limeisha tangu kwenye kikao cha jana jioni, Yule Twiga atakuwa wa rangi Nyeusi na mlima Kilimanjaro utakuwa na rangi ya KijaniMtavaa Twiga mwekundu kama hamtaki kwendeni mkaanzishe Ligi yenu mtani,Team yenyewe inategemea kucheza ligi hii hii ili isurvive halafu mnaleta ujinga.NBC wamegoma kubadili nembo tuone mtafanyaje[emoji3][emoji3]