Yanga lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi

Hicho kikao kimefanyika jana jioni Yanga wakiwasilishwa na Dkt mshindo msolla, Dominic Albinus pamoja na Interim CEO Senzo Mbatha, viongozi wa bodi ya ligi na TFF pamoja na upande wa wadhamini wenyewe NBC

Twiga atakuwa mweusi na mlima Kilimanjaro utakuwa wa kijani

Mjadala huo umefungwa
 
Vipi kwani umebanwa na haja kubwa
 
MODS:heading yangu ilikuwa

UTOPOLO lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi nyinyi mmebadilisha kwa nini sasa?? hawa ni UTOPOLO TU UTOPWINYO UTOPWENGA​

 
Mtani hilo limeisha tangu kwenye kikao cha jana jioni, Yule Twiga atakuwa wa rangi Nyeusi na mlima Kilimanjaro utakuwa na rangi ya Kijani

Hatuwezi kuvunja misingi ya klabu iliyowekwa na waasisi wake na hilo litasimamiwa kwa vizazi na vizazi

Sijasikia hilo likitolewa ufafanuzi kwenye press conference ya leo.Acha tusubiri mtani tuone hizo jezi mtakazovaa zitakuwa na muonekano upi.By the way mbona not ya Shs 10,000 huwa mnaitumia? Au ile nyekundu ya noti ni nzuri
 
Kwa taarifa yako,yanga hawana mpango wa kugombana na rangi ya twiga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sijasikia hilo likitolewa ufafanuzi kwenye press conference ya leo.Acha tusubiri mtani tuone hizo jezi mtakazovaa zitakuwa na muonekano upi.By the way mbona not ya Shs 10,000 huwa mnaitumia? Au ile nyekundu ya noti ni nzuri
Kwani Ile noti ya elfu kumi inakaa kwenye jezi mkuu Nyamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…