ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.
Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.
Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo