Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

Yanga mbona tunapigwa vita kiasi hiki?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba! Waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.

Kinachonipa tumaini ni kuwa klabu yetu bado ndio klabu bora hapa Tanzania tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga Al Ahly.

Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
 
144580162_109226231160976_7633099828185967135_n.jpg
 
Kwa kujifariji tu!

Unapigwa vita na nani kama siyo kujistukia tu?

Uzuri wapenzi wengi wa utopolo ni mbumbumbu ndio maana mmedanganywa timu ni ya wananchi wakati hamjawahi kupata mgao hata senti tano zaidi ya kuchangishwa.Pesa wanapiga wajanja wachache wanaowapamba kwa jina wananchi!

Na wamefanikiwa kuficha udhaifu wao kwa kuwadanganya mnaonewa na waamuzi,TFF,bodi ya ligi,serikali,CAF na FIFA.Kwa ujinga wenu na mlivyo vilaza, mnaamini kweli kuwa mnaonewa.
 
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini?mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke,kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona tofauti na hata timu hizi zikicheza na simba!...waamuzi nao wanakua wanajitahidi Yanga isishinde kwa kila namna.

Kinachonipa tumaini ni kua klabu yetu bado ndio klabu bora hapa tz tusiotishika na yeyote na tukiwa klabu pekee yenye uhakika wa kumfunga simba anayejisifia kumfunga al aharyl.

Wananchi wenzangu tutembee kifua mbele tuko vizuri tujipe muda kidogo benchi lifanye majukumu yake tukumbuke bado timu haijapoteza mchezo hadi leo
Msirushe mawe tu maana sasa hivi mumekuwa kama mbwa koko mnajibwekea ovyo tu
FB_IMG_1608371764096.jpg
 
Back
Top Bottom