kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu.
Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga Rivers kwao bali wataalamu wa Yanga watafute majibu ya namna ya kuzuia bahati nzuri kwa rivers. Tuangalie idadi ya clear chances walizopoteza Rivers United nyumbani kwao ambazo kama bahati itakuwa Yao zinaweza kugeuka magoli kwa Mkapa.