kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Nijuavyo mimi kama Yanga wakiruhusu kufungwa goli moja la pili na la tatu yako karibu. Maana tumewaaminosha kuwa tayari Yuko nusu finali. Hii ni mbaya sana. Tuwaombee, nimemsikia Nabi akisema kuwa Yanga haijafika nusu finali, hata yeye ana hofu kubwa kwakuwa anaufahaamu mpiraYaan tupo home halafu waamie golin kwetu? Kuwa seriaz bas sisi tucheze kama kawaida yetu then utaona hesabu