Wamlete sasa uyo mshambuliaji wao tegemeoRivers HAWAKUWA na mshambuliaji wao Tegemeo.
Japo walikuwa wenyeji wa Mchezo, ila hawakutumia uwanja wao wa nyumbani.
Yanga wasijisahau sana...
Yanaweza yakatokea ya jwaneng galaxy.
SafiMimi nawashauri Yanga waingie na kasi ya ajabu ili kupata goli la mapema. Wakifanikiwa katika hili, hao Rivers United watakata tamaa. Maana mlima wa goli 3, si mchezo.
kaka mahaba hayachezi mpira. Kuna wakati ulifika kabisa kwenye miguu ya Diara na papatupapatu nyingi karibu na lango la yanga. Kama wangekuwa makini wangetufunga hata magoli 3 kama mabeki wetu wasingekuwa macho. Penda mpira wenyewe kwanza kabla ya kuipenda Yanga. HAWA jamaa hawana cha kupoteza wanaweza kufunga magoli mengi au kufungwa magoli mengi kwa Watahamia kwenye goli la Yanga muda wote na mara zote. Hii inaweza kusababisha kupata faulu nyingi zikiwemo penati.Nafasi za wazi zipi wakati dk 90 Rivers hawakupiga shot on target hata moja
kama kila nafasi ya wazi inatakiwe iwe counted as a goal basi yanga alikuwa atoke na goli 4-5 ile mechiBahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu.
Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga Rivers kwao bali wataalamu wa Yanga watafute majibu ya namna ya kuzuia bahati nzuri kwa rivers. Tuangalie idadi ya clear chances walizopoteza Rivers United nyumbani kwao ambazo kama bahati itakuwa Yao zinaweza kugeuka magoli kwa Mkapa.
Nafasi za wazi zipi wakati dk 90 Rivers hawakupiga shot on target hata moja
YANGA MSIJISAHAU MPIRA UNADUNDA [emoji109]Walipata nafasi za wazi nne.
Walitengeneza nafasi nne za kufunga.
Kash Kash zilikuwa nne.
MIPIRA kutambalizwa kwenye sita mi tatu....
Jamaa walishindwa kulenga lango tu ila Kila kitu walifanya.
Hadi possesion ilikuwa Yao.
Yanga wapunguze kuishadadia wydad .
Simba tuliwahi ongoza kwa Jwaneng 2-0 Galaxy wakaja Mkapa wakasawazisha.
YANGA MSIJISAHAU MPIRA UNADUNDA
Ungeishauri timu yako jana ingeweza kusonga mbele.Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu.
Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga Rivers kwao bali wataalamu wa Yanga watafute majibu ya namna ya kuzuia bahati nzuri kwa rivers. Tuangalie idadi ya clear chances walizopoteza Rivers United nyumbani kwao ambazo kama bahati itakuwa Yao zinaweza kugeuka magoli kwa Mkapa.
Tena hukohuko kwaoNafasi za wazi zipi wakati dk 90 Rivers hawakupiga shot on target hata moja
Yaan tupo home halafu waamie golin kwetu? Kuwa seriaz bas sisi tucheze kama kawaida yetu then utaona hesabukaka mahaba hayachezi mpira. Kuna wakati ulifika kabisa kwenye miguu ya Diara na papatupapatu nyingi karibu na lango la yanga. Kama wangekuwa makini wangetufunga hata magoli 3 kama mabeki wetu wasingekuwa macho. Penda mpira wenyewe kwanza kabla ya kuipenda Yanga. HAWA jamaa hawana cha kupoteza wanaweza kufunga magoli mengi au kufungwa magoli mengi kwa Watahamia kwenye goli la Yanga muda wote na mara zote. Hii inaweza kusababisha kupata faulu nyingi zikiwemo penati.