Nijuavyo mimi kama Yanga wakiruhusu kufungwa goli moja la pili na la tatu yako karibu. Maana tumewaaminosha kuwa tayari Yuko nusu finali. Hii ni mbaya sana. Tuwaombee, nimemsikia Nabi akisema kuwa Yanga haijafika nusu finali, hata yeye ana hofu kubwa kwakuwa anaufahaamu mpira