Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Kama Mukoko unamuachaje Sasa palee? Baada ya Yanga kumpiga mkwara refa mkaona atakua anawalegezea eee?
 
Kocha anatakiwa kumpumzisha Ditram Nchimbi halafu aingie Lamine Moro, Juma Makapu au Deus Kaseke!

Akimuingiza Farid Mussa tumekwisha! Maana huyu ni kiungo mshambuliaji zaidi, na siyo mkabaji. Mbele angebakia Yacouba pekee. Mukoko amezingua kucheza rafu kama ile ingawa kwa kiasi fulani alikuwa na sababu kutokana na bughudha aliyofanyiwa na John Boco!

Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Hawakufuata ushauri wa kutakiwa kucheza kwa tahadhari. Wanatakiwa wapambane sasa mwanzo mwisho. Bado wana nafasi ya kushinda hata kama watacheza pungufu kwa dk zote 45 za kipindi cha pili.
 
Washapata red card tayari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa ni mtoto wa mzee mpili
 
Hahaahha ila hii kadi wameitaka wenyewe, tuweni wakweli hii sio ya kutumwa hii ni ya kujitakia
 
Kila laheri Simba, game tumeshaimaliza. Walishinda mechi isiyo na umuhimu kwao wakashangilia week nzima. Sisi leo tunabeba kombe lingine.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…