Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na kiwiko kuna buti la tumbo kampiga mchezaji wa Simba lakini refa hakumfanya kitu.Mukoko achunguzwe,haiwezekani ndani ya pitch fainali inachezwa alafu umpige kiwiko mchezaji wa timu pinzani unategemea nini kama sio mpango maalum kapanga kuiua Yanga.
Hata bocco alistahili red kabisa angalia alivyoingia kabla ya kupigwa kiwikoAchana na kiwiko kuna buti la tumbo kampiga mchezaji wa Simba lakini refa hakumfanya kitu.
sema kama redcard haikustahili..Refa kaibeba sana YangaHii game ilianza ukakasi tangu huyo refa alichaguliwa yeye kuchezesha na kazi yake ilikuwa ni moja tu, yaani kuwatoa mchezoni wachezaji wa Yanga
Boko aliingia vibaya sawa lakini hiyo sio faulo la kupewa red card boko labda kama unazungumzia gemu ya kwanza ile nakubaliana na wewe ila sio hii ya leo. Alichokifanya Mukoko sio uungwana kabisaHata bocco alistahili red kabisa angalia alivyoingia kabla ya kupigwa kiwiko
Swemba kubebwa bebwa Tu
Simba maelekezo na makandokando mkuu, hajawahi kutoka na kulijua hilo mkaamua mcheze na referee mapema coz huyo ndo favorite kwa timu yenu, straight redcard wakati sisi kuna matukio tunafanyiwa lakini anapetasema kama redcard haikustahili..Refa kaibeba sana Yanga
DEAL DONE
REFA ANACHEKAA TU ..POLENI WANA YANGA WENZANGU HALI AIKUWA RAHISI REDA ALISHAPOKEA MAELEKEZO A KILICHOTAKIWA N NIDHAMU REFA ALIJUA HAWEXI TENA KUIPENDELEA SIMBA XAIDI YA KUWATOA YANGA MCHEZONI
NAJUWA HIVI SASA WACHAWI WALIOTOA MAELEKEXO WAKO UWANJAN WANASHANGILIA OTHERWISE NAWATAKIA DK NJEMA ZA FURAHA AMA DRW
AFIRWEEEMUNUAFIGALWEMUNUUU
Hivi ile red card Yanga wanaweza kusema wameonewa? Au tusema huyo Tonombe amekula mlungula ampige mwenzake wa Sima kipepsi cha kishamba?
kalale mkuuSimba maelekezo na makandokando mkuu, hajawahi kutoka na kulijua hilo mkaamua mcheze na referee mapema coz huyo ndo favorite kwa timu yenu, straight redcard wakati sisi kuna matukio tunafanyiwa lakini anapeta
Hii game ilianza ukakasi tangu huyo refa alichaguliwa yeye kuchezesha na kazi yake ilikuwa ni moja tu, yaani kuwatoa mchezoni wachezaji wa Yanga
Game fairly Hamuwezi kushinda, hongereni kwa makandokandokalale mkuu
Hata bocco alistahili red kabisa angalia alivyoingia kabla ya kupigwa kiwiko
Swemba kubebwa bebwa Tu
Sawa wazee wa maelekezo na makandokando ndo ushindi wenu ulipo, ukitaka uone hilo Derby ya Dar Bocco alifanya madhambi ya redcard ila alikaushiwa, mpira ni mchezo wa contact, straight red card Final game maaana yake unaimaliza game mapema kabisaMmebebwa sana leo utopolo mwamnyeto alicheza faulo ya Red card refa akapeta